Picha: Gamba jipya W. Malecela yuko wapi? Bilal akutana na Watanzania waishio New York

Niliona hapa kwenye JF kuwa unataka kualika watu wenye Magamba mpaya kuja NY kufungua tawi la Chama Cha Mapinduzi

Kuhusu picha ukiangalia blog ya Mohamed Dewji yeye ndio aliyeweka his picha; sasa kama alikuondoa kwa manufaa ya CCM Mpya Sijui; Sababu Ndani ya CCM kuna watu wengi hawafurahii Maamauzi ya Mzee Malecela.

Calling Me Cheap... To do something, say something, see something, before anybody else - these are things that confer a pleasure compared with which other pleasures are tame and commonplace, other cheap and trivial

go to Mohammed Dewji Blog

Nguu007, that is low, much too low man.
Can you orient your thinkind and discuss issues an policies and not individuals.
If you think Mo Dewjis blog discusses people then please do it there.
I am still at loss as to your intentions and objectives in this thread.
If you have a personal misunderstanding with William I hope you can solve it like men do, and end up with a hand shake.
Ni type ya threads kama hizi ndo watu wana discuss hata mimba ya mke wa katibu mkuu wa chama fulani.
That too low man!
 
CCM ilishakosa mvuto kwa vijana wa nje pia..hivyo wengi hawajajitokeza kwa kuwa hawakubaliani sana na serikali ya ccm na watu wake..wameendelea kuchapa kazi na kusahau kama dr bilal anataka kuongea nao!
 
Nguu007, that is low, much too low man.
Can you orient your thinkind and discuss issues an policies and not individuals.
If you think Mo Dewjis blog discusses people then please do it there.
I am still at loss as to your intentions and objectives in this thread.
If you have a personal misunderstanding with William I hope you can solve it like men do, and end up with a hand shake.
Ni type ya threads kama hizi ndo watu wana discuss hata mimba ya mke wa katibu mkuu wa chama fulani.
That too low man!

Why you came with that I have personal misunderstanding with William

My Friend This is Jamii Forum; An Open and Free I'm not interested in power as what he threatened me for power's sake, but I'm interested in power that is moral, that is right and that is good. You just put MIMBA YA MKE WA KATIBU MKUU WA CHAMA FULANI. JUST TO TREATEN AND IRRITATE PEOPLE.

William Malecela always put his articles with his Name on the Title head to let us know he is saying something, and The VP was in NY when we were reading the blogs we saw the pic from NY and he was not there... This is one of political envisions and I believe it belongs here as it is not cheap... It addresses something...

So right now in our age after one party monopoly of CCM there is no such thing as 'keep out of politics.' All issues are political issues, and politics itself is a mass of lies, evasions, folly, hatred and schizophrenia.

Should I be concerned for the security of my well-being? Just because of his treat? Or because of insidious forces working from within Jamii Forum?

- Tunajenga hoja kwenye ishus za taifa sio kukenua meno! ha! ha! pole sana mkuu, ha! ha! huu sio uwanja wa kukenuliana meno ni kule Facebook hapa fimbo tu za taifa, pole tena!

William @ NYC, USA.

Ndugu W. Malecela, unaweza kukikuza kidonda mwilini mwako kwa kukuna kinapowasha na unaweza kutokikuza kidonga kwa kutokuna kinapowasha kwa vile mwasho ni dalili ya kupona. Hapa kuna watu wengi na wengi pengine wazito kuliko tunavyofikiri kwa vile hapa ni uwanja wa free speech, freedom of speaking na hiyo imesaidia kuelimisha wengi, kufunza wengi na kuwajengea hali ya wengu misingi ya kujiamini. Sitakuwa na shaka hata wakuu wa nchi wanaingia humu kwa majina wanayojua wao ili kulinda heshima zao. Hata William Malechela anapoingia hapa jamii forums kwa jina jingine, huwa hapati mashambulizi kama hayo, na si william Malecela tu wengi hushambuliwa kuliko wewe.

Nakumbuka kuna siku nimemshambulia sana Dr. Slaa hapa kutokana na isue ya kumsimanisha madaraka kiongozi mmoja wa Chadema kule nzega akiwa jukwani, hili ni jukwaa huru na ukijionyesha wewe nani watu watapenda kukupembua na kusoma mlengo wako kijamii. Na kama umeamua ufahamike hivyo, Ndungu Malecela hunasababu ya kuzozana na wanajamvi, kwa kuwa kupanga ni kuchagua na mantiki ya athari zake ulishayajua ukaamua kwa kujua na kutaka, ukajirisha na haya yatokeayo hayakwepeki. Just ignore and stay peacefully (Pax domini).
 
Why you came with that I have personal misunderstanding with William

My Friend This is Jamii Forum; An Open and Free I'm not interested in power as what he threatened me for power's sake, but I’m interested in power that is moral, that is right and that is good. You just put MIMBA YA MKE WA KATIBU MKUU WA CHAMA FULANI. JUST TO TREATEN AND IRRITATE PEOPLE.

William Malecela always put his articles with his Name on the Title head to let us know he is saying something, and The VP was in NY when we were reading the blogs we saw the pic from NY and he was not there... This is one of political envisions and I believe it belongs here as it is not cheap... It addresses something...

So right now in our age after one party monopoly of CCM there is no such thing as 'keep out of politics.' All issues are political issues, and politics itself is a mass of lies, evasions, folly, hatred and schizophrenia.

Should I be concerned for the security of my well-being? Just because of his treat? Or because of insidious forces working from within Jamii Forum?

Ndugu Spika, nipe mwongozo.
Ndugu yangu ngu007, kwa hiyo ktokana na mantiki yako ni ruksa tukaongelea MIMBA YA MKE WA KATIBU MKUU FULANI humu?
Si kila kitu ni free and moral?
Na unakuwa irritated na mambo yako na si ya wengine?
Naomba mwongozo
 
Did you read the article from LOLE GWAKISA? he's the one who talked bout it ...

ONGEA NAE.
quote_icon.png
Originally Posted by Lole Gwakisa
Nguu007, that is low, much too low man.
Can you orient your thinkind and discuss issues an policies and not individuals.
If you think Mo Dewjis blog discusses people then please do it there.
I am still at loss as to your intentions and objectives in this thread.
If you have a personal misunderstanding with William I hope you can solve it like men do, and end up with a hand shake.
Ni type ya threads kama hizi ndo watu wana discuss hata mimba ya mke wa katibu mkuu wa chama fulani.
That too low man!
 
You are trapped, jibu swali!
Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu

I have not time to defend articles created by watoto wa Mafisadi...

I still view Jamii Forum as fair and free; LOL
 
You are a cornered rat sir!
With all due respect you are the author of this thread.
Au umeshasahau so fast!

Ni picha na Kijana W. malecela hakuwepo; so is that painful to understand? evidence picha... from Mohamed Dewji Blog as well as Issa Michuzi

Sasa fitina iko wapi? tulidhani any function in NY Mtoto wa Mkubwa kile Malecela angehudhuria, kuna ubaya hapo?

I'm nice human being I don't have Enemies... just love Political News and Political Gossip's is that painful 2 U all???
 
Nguu007, that is low, much too low man.
Can you orient your thinkind and discuss issues an policies and not individuals.
If you think Mo Dewjis blog discusses people then please do it there.
I am still at loss as to your intentions and objectives in this thread.
If you have a personal misunderstanding with William I hope you can solve it like men do, and end up with a hand shake.
Ni type ya threads kama hizi ndo watu wana discuss hata mimba ya mke wa katibu mkuu wa chama fulani.
That too low man!
What is too low yaani kubandika picha bila ya William ndiyo too low mimi naona wewe unataka kununua kesi halafu mambo ya mke wa Slaa yanaingiaje hapa.

Tatizo la rafiki yako ni ubishororo anataka kusiwa kila wakati mtu wa dataz hupenda kuanzisha thread na kujiandika jina tena kwenye heading anaona akiandika bila jina lake hatutajua ni yeye kaanzisha (selfish), huwa anatuletea picha zake za mikutano ya NYK mara kwa mara nani huwa analaumu leo kaona hizi hayupo ndipo anataka kutisha watu ambao wamecopy tu kutoka kwenye blog zingine, mnachotakiwa ni kuongea na zilikotoka kwa nini picha zake zimetolewa kama ni kweli zilikuwepo na si kuanza kumlaumu nng007 bila sababu za msingi.
 
Ni picha na Kijana W. malecela hakuwepo; so is that painful to understand? evidence picha... from Mohamed Dewji Blog as well as Issa Michuzi

Sasa fitina iko wapi? tulidhani any function in NY Mtoto wa Mkubwa kile Malecela angehudhuria, kuna ubaya hapo?

I'm nice human being I don't have Enemies... just love Political News and Political Gossip's is that painful 2 U all???
Pole mkuu , its obvious you are now on the defensive mode.
Gossips can be counter productive.
 
Sasa kabila lake limeingiaje hapo, hukum kwa kile alichokisema na si rangi,kabila lake au eneo atokalo.

Ninachokiona hapa kuna kundi la watu waliotoswa viza na ubalozi wa Marekani, sasa hasira zao wanazishushia kwa William @New york, USA, Kama kuna anaesema Marekani si lolote, mbona hakuna anaesema kwamba mimi huwa nakwenda likizo kutembea tu Marekani na siwezi kubeba box?
Kwa mimi ambae nimesoma DMI najuwa fika Marekani kwa William sio dili, ila kuna chuki binafsi za watu wenye wivu wa kike, ila mimi nitaendelea kutofautiana nae kwenye hoja za kisiasa, kwamba yupo kwenye chama cha misukule.
 
Miaka 8 hivi imepita nakumbuka nilifika hapo nyumba ya serikali ya Tanzania ndani ya ardhi ya Marekani anapoishi balozi wa Tanzania umoja wa mataifa. Alifika Rais Mkapa kuwasalimia Watanzania na watu tulikuwa wengi sana kiasi cha kukosa viti na nafasi ya kukaa.( Niliporudi usiku wa manane nikaongozwa na mwenyeji Lwangisa kupata entrance ya express way rout 95, nilifanikiwa kuendesha gari salama umbali wa ml 320, Mungu ashukuriwe. )
Leo waliohudhuria ni kama familia fulani tu ambayo hata haina mvuto wa kumkaribisha Makamu wa Rais hapo Westchester kando ya jiji la NY. Kufilisika huku wa idadi ya watu inanipa jeuri ya kuumbuka serikali yetu kwa wananchi wake. Ingawa itikadi za kuwapokea viongozi wa nchi si za kisiasa bali kitaifa, lakini hii imenishtua nikikumbuka siku tulipokutana na mkapa uwanja huo huo huko Westchester. Nitakapokuja tena NY nitajitahidi kuwahimiza watanzania wajitokeze zaidi.

William Malecela magamba dogo haonikani hapa, labda limo ilikwamba au kupata punch pale Rout 1 au rout 95. Alitakiwa aende kumlaki mkuu wake wa magamba ili aongeze idadi kidogo. Angebuku ukuu wa wilaya kabla hatujafuta nafasi hizo zinazoangamiza bajeti ya sirikali.

Mbwembwe za nini? haikuwa muhimu saaan! kujua hayo maneno kwenye red, nje ya topic...":A S 114:
 
Pole mkuu , its obvious you are now on the defensive mode.
Gossips can be counter productive.

It is always the habit of every aggressor to claim that I'm acting on the defensive.

I was giving explanation as Self-discipline, although difficult, and not always easy while combating negative emotions from you...
 
Back
Top Bottom