Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Rorya mnahangaika tu, kule ni CCM tu.
Kuna Watu wengine hata wakiwa wanakata roho huwa hawaamini kama kweli ndio wanakata Roho....Rorya mnahangaika tu, kule ni CCM tu.
Kwann unaropoka lkn
Rorya mnahangaika tu, kule ni CCM tu.
Kuna Watu wengine hata wakiwa wanakata roho huwa hawaamini kama kweli ndio wanakata Roho....
Wale wanaosema Chadema inakufa watasubiri sana.Chadema ni mpango wa Mungu.
Warning: Lumumba buku 7 kaa mbali na uzi huu.
Fuatilia matokeo ya serikali za mitaa vijiji na vitongoji hapo Rorya halafu niletee majibu
Jiandaeni kasaikolojia
Wamejitia Upofu.....
Naona Leo wamekimbia hapa jukwaani, Nadhani hawajawekewa Bundle leo Mkuu....[URLb=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=LB7]#LB7[/URL]
tata madiba tulia sindano ikuingie!ester matiko binti mdogo anawachoma balaaRorya mnahangaika tu, kule ni CCM tu.