Hapo kwenye huo mti iwe ni sehemu ya kumbukumbu,panatakiwa pawekwe jiwe la msingi la kumbukumbu pakiwa na jina lake na maelezo ya kilichompata "briefly".May he rest in Enternal Peace.
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema
utanisamehe kamanda......... sioni kama mkuu ana moyo wa simba
kwi! kwi! kwi! kwi! teh! teh! Mkuu chama lakini Gwanda lisiwe la kijani naweza nikatapika kila nikilivaa. Nitakutumia kabla hujarudiKamanda Precise Pangolin
Kwanza nitumie vipimo na saizi ya viatu nataka nikutumi pamba ya nguvu; na boot kali upendeze achana na kakhi za kushonesha kwa fundi John; makamanda hamuelweleki serikali ikiwashtaki wahujumu uchumi kelele isiposhtaki kelele, na kuhakikishia kama raisi angetaka Mahalu awe jela leo hii angekuwa jela, lakini ni kwasababu ni mtu anayeheshimu misingi ya demokrasia.
Chama
Gongo la mboto DSM
Chadema kama chama wachukuweni hao watoto muwasomeshe mpaka chuo kikuu, pamoja na kumuangalia mjane, mzazi wao kafa ndani ya harakati za kisiasa za Chadema
Wana Jf,msafara wenye majonzi kuelekea itete nyumbani kwao marehemu Daud Mwangosi kwenda kumzika,kiongozi mkuu wa upinzani nchini Dr W. Slaa akiwa na makamanda wa m4c wameambatana na wafiwa kwenda kuzika.Huzuni imetawala kwa wana-rungwe. Source:mimi mwenyewe
Kwani huyu muandishi na yeye alikua kwenye harakati zenu?Hata kama watauwa watu wote walio ndani ya harakati naamini watazaliwa wengine watakao endeleza harakati na kustawisha mbegu ya mabadiliko.
Mabadiliko yangekuwa yanazuilika kwa mtutu wa bunduki hosein mubarak angefaulu na sasa angekuwa yu ngali madarakani. Ifike hatua ccm wajue kuwa kuwatumia polisi waue hakuta weza kuwaokoa na anguko maana hasira ndio zinazidi kwa wananchi wa kawaida. Huyo mtoto wa marehemu pamoja na mama yake naamini hawawezi kupigia kura serikali iliyo uwa kiongozi wa nyumba (baba).