Picha: Dr.Slaa ampokea Prof. Lipumba kiaina

acheni uongo Dr slaa alikuwa na njia zake.tena alizua vurumai pale wanachama wa cuf wakidai cdm ni wabinafsi bunge mpaka wengine walitemea mate gari yake na kutoa maneno machafu.kwa nini? Watu si wakweli kila kitu ni ushabiki tu.semeni hali halisi ili watu wajifunze na wapate habari za kweli
 

Siwezi shangaa wacheza bao misikitini
 
Hongera Dr. Slaa, huu ni ukomavu wa kisiasa. Unastahili pongezi
 
dr kaonesha uungwana sana kwani siasa za chuki hazina nafasi nae ni kiongozi hao waliokuwa airport huenda wakawa members wake next time who knows.
 
Huu ndio ukomavu wa kisiasa. Kuwa katika vyama tofauti haimaanishi msipongezane, msishirikiane, msitaniane na kadhalika. HONGERA SANA DOC. SLAA.
 
ulichoandika kinafanana na wewe!
 
Duh hii safi sana. Siasa si vita mnamuona sasa Dr. Slaa alivyofurahi. Si vibaya kumpokea Mchumi nguli wa dunia ambaye kwa bahati nzuri ametokea kwenye kipande cha ardhi ya Tanzania japokuwa ana itikadi tofauti na Dr. Slaa.
 
Haya mapokezi ya Lipumba tulitaarifiwa hapa jamvini siku kadhaa zilizopita, tukaandikiwa na kiasi cha pesa kilichotengewa kazi hii. Kutokana na mahusiano baina ya CUF na CCM, kulikuwa na uzembe wa halli ya juu kwa upande wa CDM kushindwa kupanga Dr Slaa kuwasilli muda tofauti na ule au hata siku tofauti. Kwa chama kinachotarajiwa kushika dola, haya si mambo ya kuvumilia. Lazima mtu awajibishwa kwa Dr Kudhalilishwa. Tuachane na ushabiki.
 
naikumbuka ile siku uliyoikana cuf ukijinadi kuwa huna chama chochote. Ningeshangaa sana mfia dini usiwe cuf. Anyway, kusanyikeni msikitini muunde chama kingine, hiki kimekufa tayari. Hamad rashid ndiye wa kuikafini maiti ya cuf

hapa umeonesha ufinyu wa mawazo na fikra pia! Unahusishaje mambo ya msikiti(dini) na cuf (siasa)? Unataka kutuaminisha nini ktk kauli yako hiyo? -kwamba kama cuf ni chama cha waislam, chadema, ccm, n.k ni vyama vya upagani? Ukristo? Ama..
 
In fact CUF will die soon enough. hakuna cha mpito bila uwajibikaji wa kweli.Toka nipo darasa la Tano Lipumba ni mwenyekiti,Maalim ni Katibu.Katibu wa CUF ni king'ang'anizi wa madaraka.Aachie nafasi ya ukatibu kama kweli ni mpenda demokrasia. CUF has no majority support to Tanzanians.
Utakufa wewe, utaomba miungu wako lakini CUF itabaki inanawiri ..endelea kuota..lol
 
Hongereni CHADEMA,mnajenga kizazi cha siasa ya kweli,siasa inayokua na uchumi,umaskini na changamoto mbalimbali.CCM wanahaha kwenye vikao kwa sababu yenu.Hata kizazi chote cha 1990s kina wakubali sana.Dr. pia unakubalika sana,hatokama hautakua Raisi ila kazi yako inaonekana na watu hawadanganyi kama enzi zileeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
 
Huko ndiko kukomaa kisiasa! Big up Kamanda mkuu(Dr. Slaa)!
 
Hongera sana Dr Slaa. Waswahili husema tenda wema nenda zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…