mkuu alisema chadema ilimtenga akawa anashindia mihigo why tusimuite DR MIHOGOMbona Dr Slaa alitenda wema akaambulia kuitwa Dr Mihogo
Unajua watanzania kuna vitu huwa hatujui na tunashabikia kitu pasipo kujua wala kuchuja. Huyu Shika ambaye leo anaonekana bomba au kifaa. Wakati hao hao ccm walimkamata na kumweka ndani kwa kosa ya utapeli. Na aliongea yote hayo ni mkuu wa polisi wa dar. Na kwenye mnada wenyewe waliemwangalia mwenye akili timamu aliyemwona Shika ni kama mtu ambaye hana akili timamu. Leo hao hao ccm wanaendelea kuzidi kutudanganya na kutuaminisha kuwa Shika ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kuaminisha wananchi ili waichague ccm. Hapa ndio mjue kuwa ccm wao wanachojali ni madaraka hawajali anaeleta ushindi ni kichaa au mzima. Haya ndio matokeo ya watanzania kuzidi kuwa maskini. Kinachotakiwa ccm wawaleze watanzania ukweli na wawe wakweli na kitu ambacho hakipo ktk ccm. WATANZANIA amkeni achaneni na ccm uongo mwingi wao wanachotaka ni kututawala hawajali kwa njia gani halali au haramuDR LOUIS SHIKA leo alitembelea ktk mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya Mhandu. Shika amesema kuwa CCM ikishinda kata zote 43 ITAPENDEZA Zaidi.
[HASHTAG]#Note[/HASHTAG] Pembeni yake ni aliyekuwa katibu wa Chadema mkoa wa Mwanza aliyehamia CCM Comrade John Nzwalile.
Magoiga SN
View attachment 637785 View attachment 637786
Duuuuuu hiyo minofuHuyu nae
Karai la zegeUkitaka laana ya Mungu ikuangukie jiambatanishe na ccm , huyu atatumika kama ndondocha halafu baada ya uchaguzi atabwagwa , ccm haijawahi kuwa na rafiki .