Dokii anapendaga kujitoa akili, sijui yupoje, ananiachaga hoi sana
Si afadhali huyo wa busu wengine hushikwa bega tu na kuambiwa"nawe huniachii tu" kesi huisha hapo hapo!Kama hiyo hela hakuwa nayo sa angefanyaje?? Penye uzia penyeza rupia.
Lofa ni huyo askari aliyeambulia busu tupu....teh! teh! teh!
Si afadhali huyo wa busu wengine hushikwa bega tu na kuambiwa"nawe huniachii tu" kesi huisha hapo hapo!