Picha: Dk Slaa azidi kuwabana CCM

Picha: Dk Slaa azidi kuwabana CCM

haki kamwe haibaki kwa style ya kama hii ccm mtazusha vingapi kabla ya kufuatilia mali asili zetu na wezi wa mabillion yetu mnamfuatilia Dr. Slaa na washangaa sana jipange upya watanzania hatundanganyiki tena
 
jamani hivi ni kweli kuna tshirt zilizoandikwa "HATARI WEKA MBALI NA TEMBO?"kama zipo zinapatikanaje?au kama hazipo tunaomba wanaoweza kuziandaa waziandae alafu watujuze hapa jamvini.
 
Uongo mtupu. Soma alivyofafanua kwenye NIPASHE;
Akiongea na mwandishi wa habari hizi, Dk. Slaa alisema anamshukuru Mungu kuwa hao wanaomzushia kifo wanazidi kumuongezea maisha na kumpa nguvu na kuendelea na kazi zake.

“Hizo ni propaganda za watu wasionitakia mema, hivi ninavyoongea na wewe niko katika kijiji cha Nkwenda, Wilaya mpya ya Kyelwa, huku Bukoba ndio nimetoka kuteremka kwenye jukwaa kuongea na wananchi,” alisema Dk. Slaa na kuongeza “Mimi ni mzima kabisa na nikitoka hapa nakwenda kwenye mkutano mwingine.”
Alisema hiyo si mara ya kwanza yeye kuzushiwa kifo, lakini anamshukuru Mungu kuwa wabaya wake wanavyozidi kumzushia habari mbaya wanaendelea kumuongezea siku za kuishi.

Mungu atampa afya njema Kamanda wetu na kwa pamoja tunashuhudia Uhuru wa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi ambapo kila mtanzania atafaidi rasilimali za nchi yetu
 
jamani hivi ni kweli kuna tshirt zilizoandikwa "HATARI WEKA MBALI NA TEMBO?"kama zipo zinapatikanaje?au kama hazipo tunaomba wanaoweza kuziandaa waziandae alafu watujuze hapa jamvini.
Zipo nying sana ucjali utazipata. HATARI!
 
Kwangu mimi huyu babu ni Janga la kitaifa.Mtu aliyeshindwa kumtumikia mungu ndo nuru kwako.Kweli mnatumia kichwa kufugia nywele.
Dr Slaa ndio nuru ya Watanzania. CCM ni giza tupu.
 
huyu ndiyo dr slaa mbona ccm watakiona,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Hivi inaposemekana imeundwa timu ya ushindi ,hao walioondolewa walikuwa timu ya nini.Pia nashawishika kuamini hao maliasili wanyama ,pamoja na vipusa vinavyokamatwa kuna baraka zote za serikli ,kwani hatujajulishwa hatua zozote za kuwafahamu waliohusika inawezekana ni ile shehena ya Meno ya tembo ya Serikali ambayo Kenya walituwekea ngumu kuiuza sasa wameamu kuiuza kimya kimya kwa ajili ya maandalizi ya chaguzi zinazokuja, na ndipo wakamuweka Mr. K kushughulikia suala la hayo meno ya tembo
 
Wanachadema huu ndio umati wa kushtua watu? Hebu kuweni wa kweli jamani hizi sifa mnazojipa sio zitakazowafanya mshinde 2015 .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wanachadema huu ndio umati wa kushtua watu? Hebu kuweni wa kweli jamani hizi sifa mnazojipa sio zitakazowafanya mshinde 2015 .

Chama
Gongo la mboto DSM

kwa mikoani na watu hawajalazimishwa wala kusombwa na maroli hawa ni wengi sana..uliona aibu walio ivuna mawaziri na uongozi wa ccm walipo kuwa Arush, cha ajabu wame-edit pics na kusambaza kwenye vyombo vya habari ili kuonyesha walijaza watu..
 
Mkuu Crashwise
CCM kushinda uraisi si lazima na wala hatuna sababu kushinda Arusha; hiyo ni ngome yenu hapo zoezi lenu la ukabila limekubalika; hata nyie mkienda kwenye ngome zetu yanakuwa yaleyale; nilshasema awali ile idadi ya watu tuliyoipata ni wengi sana hasa ukizingatia hali halisi ya kisiasa Arusha; sijui ukweli wa kukakachua picha ila kama limefanyika halikuwa na ulazima
sisi bado tunakubalika kwenye baadhi za wilaya Arusha sioni hofu yoyote 2015 ni yetu tena kwa kishindo

Sijui mlipozomewa kule Mtwara bado mna imani nako?
 
Sijui mlipozomewa kule Mtwara bado mna imani nako?

Mkuu kama nyie ndio makamanda mnaotegemewa na Chadema basi hii vita yenu itakuwa ngumu sana; yaani ni yaleyale ya Dr. Slaa kukurupuka na kutoa viroja; wananchi wa Mtwara walimzomea mbunge wao waziri Hawa Ghasia na hapo hapo wakawa wanamshangilia @Nape hivi umeshindwa hata kupembenua mambo halafu unakuja na hoja nyepesi; ben najua mnatafuta vijinafasi Chadema ili mgange njaa lakini halikuzuii kufikiria.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom