Picha: Dk Slaa azidi kuwabana CCM

Picha: Dk Slaa azidi kuwabana CCM

Mungu yupi amlinde mnafiki na Mwizi wa wake za watu?

Desi temea mate chini pliz! Mbona Mungu anakulinda wewe au kwa kuwa wewe ni malaika huna dhambi? Unapata wapi jeuri ya kumrushia mawe Dr. Slaa ilihali na wewe ni mwanadamu mwenye mwili na dhambi kama wengine tu?
 
sasa tusije kutosheka tu na umati wakati kwenye chaguzi hawa wanaoitwa umati wanatuangusha. Kwenye upigaji kura
 
Back
Top Bottom