Picha: DK. Slaa aivuruga CCM Ruvuma


Wakati gani ule?? Hii karne ya 21.. fungua akiri funga makalio.
 
Umevurugwa , ungefuatilia hata aina ya chopa ungekuwa na kumbukumbu sahihi...

utaifa kwanza yaan huna akili ya darasani hilo tunalijua,lkn hata macho tu kutofautisha rangi ya chopa unashindwa? Au ndo ushabiki ------
 
Duu Kama watu wenyewe hao basi kuna kazi ya ziada kwa kweli naona Kama CDM imekufa kabisa!

Yaani mnamaliza ruzuku yenu bure watu kiduchu mno!
 
Nilitaka kugonga like nimekosa kama Mw.ana.Ha.li.siForum. Hat hivyo nimependa mwamko wa wananchi na kuchukia ufisadi
 
Umati mkuuubwa! naona songea nzima wliudhuria!
 
Nipoa sana ila mpiga picha ni wakishamba,yaan manzari yale yale siungepanda mtin,poa umejutahid ongeza bidii
 
Chadema kimeshakufa tayar,

Ona hapo kwenye picha waliojaa wote ni watoto wadogo wasiojitambua
 
Duuuu! Kweli kwa hali hii Chadema inaenda kuchukua nchi 2015. Mungu ibariki Chadema na waongezee viongozi wake HEKIMA na BUSARA kama mfalme Sulemani. Amen.
 
Yaani mpaka raha. Nilikuwa nimejikalia sina mwelekeo sasa siku yangu njema hata nisipokula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…