mkuuwakaya
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 1,196
- 1,627
Picha za mwaka 2010 zinatumika leo kuhadaa watz mitandaoni na kwenye media
Safi sana hiki ndicho tunachohitaji
kwishneiiiiiii!!!!!!!!!!!! tena hakakujua kama kuna kitu hikiwapi team z.......?
Mungu atamuongezea miaka mingi ili atusaidie watz ... usihofuhuyu mzee amezeeka sana basi tu ni kig'ang'anizi wa siasa au labda chama ni cha jamii yake. Nadhan 2015 ndo mgombea urais wa cdm!
Picha za mwaka 2010 zinatumika leo kuhadaa watz mitandaoni na kwenye media
Tunachoomba tu wasijirushie mabomu
Sumu na tindikali daima