jamani chadema hamuiachi ccm ipumue kila kukicha operation mpya mtaua watu kwa presha wenyewe wapo kwenye honeymoon za mawaziri nyie mnaanzisha operation nawashauri muache tuu hizi operation mtaishia jela kwa kusababisha vifo vitokanavyo na BP...
Hakika mungu atakuwa na wanyoge ambao wamenyanyaswa kiasi cha kutosha, wameonewa kiasi cha kutosha, wamepuuzwa kiasi cha kutosha, wamebaguliwa kiasi cha kutosha, wamedanganywa kiasi cha kutosha na sasa wanataka kukombolewa na tumaini kumbwa la ukombozi huu liko mikononi mwa makamanda kama daktar wa falsafa wa ukweli W. P. Slaa