Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

Picha: Diamond amnunulia ndinga mpya Zari

Wiki mbili hizi mbaya sana kwa domo ,katoa audio tu msiba huoo ukateka insta. Katoa video shishi na uchebe wake wamejaa tele insta.

Kapewa kiki south bado watu hawashtukidaah
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ila wewe nimecheka
 
K inalipa sana mjini nashangaa pisi kali mjini zinalia njaaa, na siku ya mwisho zitaulizwa kwa nn zilishindwa kutumia K vizuri ata zitoe zaka tu,🤣🤣🤣

Ww ndo master wa wambea nakwelewa mama hadi na picha unatoa, unafaa kuwapa shilawadu extra ata script kidogo
 
Back
Top Bottom