kama kamwaga vipeperushi basi kauchafua mji wa Moshi, kila kipeperushi alipie 50,000
Huyu jamaa angegombea kinondoni banah..moshi anapoteza muda.
Hizi story kuwa ukitupa Takataka barabarani nje na shimo.la taka huko Moshi unalipa faini ni za kweli?
Hizi story kuwa ukitupa Takataka barabarani nje na shimo.la taka huko Moshi unalipa faini ni za kweli?
wewe ndio unachekesha sana, mwenzako anatimiza haki yake ya kuchaguliwa wewe unajichekesha hapo, shauri yako, utaendelea kuona wenzako wanachekesha kumbe wewe ndio unachekesha.Anachekesha huyo
Masikini, awalaumu walioleta vyama vingi maana kama ingelikuwa ccm pekee angeliweza kuununua huo ubunge kwa besa alizo nazo!
ni kweli kabisa unalipa fine kutupa taka ovyo
Moshi hata kutema mate hovyo au kutupa vocha tu ni haramu