Ila picha si ya leo hii, ni ya December 2011, mafuriko yaliyotokea. Nimeshindwa kuilink hiyo thread, ila jina la hiyo thread ikinyesha picha zote ni " > Forum > General Forums > Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam
Page 1 of 20 1 ...
figganigga 15:32 21st December 2011
hapa ni maeneo ya kati ya Tabata na Buguruni, kama picha hii
inavyoonyesha nyumba zikiwa zimefunikwa na kuelea majini leo hii.
Eneo la Tabata unapopita Mto Msimbazi likiwa limejaa maji na kufunika
baadhi ya nyumba za maeneo hayo leo.
Haya ni maeneo ya Vingunguti kuelekea Tabata, eneo la Viwanda.
Picha za Moja kwa moja kutoka Eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam muda
mfupi baada ya kuzingirwa na maji/Mafuriko kutokana an mvua kubwa
zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam Muda Huu na kufanya eneo lote
la Jangwa Kuonekama Kama Ziwa.Picha Hizi za Moja kwa Moja Kutoka
Jangwani Zimepigwa na Mdau Bilal Ahmed
Daraja la Kawe eneo la Bondeni linapojengwa Daraja jipya tayari maji
yamelizidia na kupita juu.
Kingo za Daraja hilo zikiwa tayari zimebomoka
Baadhi ya abiria wakitembea kwa miguu baada ya eneo hilo njia kufungwa
Mto Msimbazi ulikopita na kuharibu Miundombinu.
.
Obe 15:41 21st December 2011
Hali hii ikiendelea kuna hatari ya baadhi ya maeneo kutopitika, Kigamboni mitaa ya
midizini nako hali ni mbaya, maji kila sehemu
Saint Ivuga 15:41 21st December 2011
asante mkuu kwa mapicha
BAK 15:44 21st December 2011
Mambo Jambo 15:45 21st December 2011
Watakomaa na na waishio mabonde ya msimbazi lakini kwa ufupi planning na
miundombinu huko bongo ni wasiwasi sana.
nitonye 15:45 21st December 2011
mkuu tunashukuru kwa hizo picha
BAK 15:51 21st December 2011
Picha zaidi zinapatikana hapa: MATEJA 20: MAFURIKO YALIVYOLIKUMBA JIJI LA DAR
LEO
TIMING 15:57 21st December 2011
Page 1 of 20 1 ...
Copyright JamiiForums.com