Picha : Dalili za Oktoba 2015

Picha : Dalili za Oktoba 2015

Earthmover

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2012
Posts
26,012
Reaction score
25,353
...

....Kwa GT tu !!!

Huu ni Mwezi May tukifika Oktoba itakuwaje........

darfloods_jangwani21.jpg
 
Mpaka octoba itakuwa ni majanga zaidi
 
...

....Kwa GT tu !!!

Huu ni Mwezi May tukifika Oktoba itakuwaje........

darfloods_jangwani21.jpg

Ila picha si ya leo hii, ni ya December 2011, mafuriko yaliyotokea. Nimeshindwa kuilink hiyo thread, ila jina la hiyo thread ikinyesha picha zote ni " > Forum > General Forums > Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam
Page 1 of 20 1 ...
 
Umetoka njee kabisaaaa ujaulizwa ya mwaka gani je ushawahi kusikia mafuriko oct? Wewe ndiye great thinker wa siku ya leo jf hongera


ila picha si ya leo hii, ni ya december 2011, mafuriko yaliyotokea. Nimeshindwa kuilink hiyo thread, ila jina la hiyo thread ikinyesha picha zote ni " > forum > general forums > habari na hoja mchanganyiko
topic: Picha: Mafuriko yalikumba jiji la dar es salaam
page 1 of 20 1 ...
Figganigga 15:32 21st december 2011
hapa ni maeneo ya kati ya tabata na buguruni, kama picha hii
inavyoonyesha nyumba zikiwa zimefunikwa na kuelea majini leo hii.
Eneo la tabata unapopita mto msimbazi likiwa limejaa maji na kufunika
baadhi ya nyumba za maeneo hayo leo.
Haya ni maeneo ya vingunguti kuelekea tabata, eneo la viwanda.
picha za moja kwa moja kutoka eneo la jangwani jijini dar es salaam muda
mfupi baada ya kuzingirwa na maji/mafuriko kutokana an mvua kubwa
zinazoendelea kunyesha jijini dar es salaam muda huu na kufanya eneo lote
la jangwa kuonekama kama ziwa.picha hizi za moja kwa moja kutoka
jangwani zimepigwa na mdau bilal ahmed
daraja la kawe eneo la bondeni linapojengwa daraja jipya tayari maji
yamelizidia na kupita juu.
Kingo za daraja hilo zikiwa tayari zimebomoka
baadhi ya abiria wakitembea kwa miguu baada ya eneo hilo njia kufungwa
mto msimbazi ulikopita na kuharibu miundombinu.
.
Obe 15:41 21st december 2011
hali hii ikiendelea kuna hatari ya baadhi ya maeneo kutopitika, kigamboni mitaa ya
midizini nako hali ni mbaya, maji kila sehemu
saint ivuga 15:41 21st december 2011
asante mkuu kwa mapicha
bak 15:44 21st december 2011
mambo jambo 15:45 21st december 2011
watakomaa na na waishio mabonde ya msimbazi lakini kwa ufupi planning na
miundombinu huko bongo ni wasiwasi sana.
Nitonye 15:45 21st december 2011
mkuu tunashukuru kwa hizo picha
bak 15:51 21st december 2011
attachment 43776
attachment 43776
muwaha 15:51 21st december 2011
inasikitisha sana...dah!
Blaki womani 15:53 21st december 2011
baada ya janga hili litakuja janga la mlipuko wa magonjwa
eeeeh mola tuepushe na hilo.......na bado hatujajua masika
itakuwaje na tumejiandaanda vipi .......hali inatisha
son of alaska 15:54 21st december 2011
jangwani hapo
giddy mangi 15:55 21st december 2011
kidumu chama cha mapinduzi
bak 15:56 21st december 2011
picha zaidi zinapatikana hapa: Mateja 20: Mafuriko yalivyolikumba jiji la dar
leo
timing 15:57 21st december 2011
sijui na mabomu yetu yapo salama...
Shizukan 16:03 21st december 2011
tuendelee kukaa mabondeni ili tupate fursa ya kupanda helikopta.
Kokutona 16:04 21st december 2011
inatisha kwa ukweli.
Erickb52 16:05 21st december 2011
dah kumbe hali ni mbaya sana eeee
mp kalix2 16:18 21st december 2011
big up mkuu for the photos.tuna wapi pole ndugu zetu waliopatwa na janga hili.
King kong iii 16:19 21st december 2011
du hatareeee dar zaidi ya uijuavyo
king kong iii 16:21 21st december 2011
by son of alaska:
Jangwani hapo
hawa jamaa wanatumia matatizo ya wana-nchi kutoka/kujiapatia umaarufu kisiasa,sasa
anapiga picha na bibi hili iweje?
Mwaj 16:21 21st december 2011
inatisha na itatisha zaidi yatakapoanza kufumuka magonjwa ya mlipuko kama
kipindupindu! Eee mwenyezi mungu tusaidie!
Page 1 of 20 1 ...
Copyright jamiiforums.com
2 3 11 last
 
Litabaki jengo la simba tu,yanga mwisho wao hiyo mvua ya october, mana haitabakiza wachezaji na timu hii itageuka pinzani.

.....ha ha ha hatari wewe Mkuu Rwankomezi ....nimekusoma !!!
 
Back
Top Bottom