Afadhali aliyeomba rushwa kuponya maisha ya mtu!yapo majangiri,manasiasa yanayoomba rushwa ili kuangamiza maisha ya maelfu!pole dada..umekuwa kafala!
Lakini hawa Takukuru mie binafsi naona waganga njaa tu hata siku moja hawajawahi kumkamata kigogo yoyote zaidi ya kuwaonea mahakimu na watu kama hawa ambao hawana nguvu za kiuchumi.
Lakini hawa Takukuru mie binafsi naona waganga njaa tu hata siku moja hawajawahi kumkamata kigogo yoyote zaidi ya kuwaonea mahakimu na watu kama hawa ambao hawana nguvu za kiuchumi.
mkuu wa takukuru amechaguliwa na nani?kumbe wakati mwingine unaakili na unatambua ugomvi wetu wataka mabadiliko,njoo chadema tupambane kufuta huu upuuzi wa ccmLakini hawa Takukuru mie binafsi naona waganga njaa tu hata siku moja hawajawahi kumkamata kigogo yoyote zaidi ya kuwaonea mahakimu na watu kama hawa ambao hawana nguvu za kiuchumi.