picha:dada zetu waliopo jkt

picha:dada zetu waliopo jkt

Microsoft

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Posts
623
Reaction score
366
Sitaki kutaja Ni kambi gani..ili niendelee kupata hizi picha

attachment.php

Nawasilisha
 
Attachments

  • IMG-20130411-WA0001.jpg
    IMG-20130411-WA0001.jpg
    36.8 KB · Views: 1,966
Sitaki kutaja Ni kambi gani..ili niendelee kupata hizi picha

Nawasilisha

mbona watu waliishaziweka hapa Jamvini muda mrefu wewe ulikuwa umelala? Namwona Halima Mdee, Ester.
Kajipange upya mkuu
 
Tushaziona kitambo sana hapa jamvini wewe ulikuwa wapi wakati zimewekwa?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sio kosa lake ndio wale wanaokurupuka ili tu waonekane na wao wameanzisha uzi bila kupitia jamvi kwanza.
 
Mkuu ni kweli wamepita huko lakini hao ni wale vilaza ambao wamesahau mafunzo ya JKT...si unaona hata hapa JF tunatumia slogan ya Home of Great Thinkers lakini kuna watu humu huwa wanawaza sijui kwa kufikiria akili za kukodi...
Hivyo mkuu watu wa namna hiyo lazima watakuwepo tu.

hawa ambao leo wwanaisumbua nchi hii wote wamepita huko!!sidhani kama huo uzalendo uko huko labda ukakamavu!
 
Sitaki kutaja Ni kambi gani..ili niendelee kupata hizi picha

attachment.php

Nawasilisha

Mbona naona wengine si madada?

Sasa hapa walikuwa wakifanya n ini? Ni tano bora ama parade?

Mbona hawana kabalofu?????????????? Au ndiyo majeshi ya siku hizi kila mtu kivyake vyake maadam mna sare?

Naona wana green vesiti za blue!
 
Back
Top Bottom