Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Hizi siasa za vurugu sijui kama zitawafikisha mbali chadema najua wengi mtapinga humu, haka nikama kamovi kanajirudia tena walianza NCCR na mrema kipindi cha mkapa. ikaja cuf fujo na vurugu wee na sasa chadema imepigiwa pasi yaendelea na siasa vurugu. Kuna kitu watuwengi hawajui kunavijisababu vipo pekee tofauti kwa Tanzania siasa vurugu haitoboi. Siasa vurugu inawezekana kenya labda sio bongo au ruanda au kwa mtemi m7. labda NATO iingilie kigaidi kama kawaida yake.
wanaonekana wote wahuni,jobless
wanaonekana wote wahuni,jobless
Wanachama wa Chadema pamoja na mbunge wao Lema wakiandamana kutoka mahakamani baada ya kushinda kesi iliyofunguliwa na madiwani waliofukuzwa uanachama baada ya mahakama kutupilia mbali madai yao na hivyo kukipa Chadema ushindi wa kesi hiyo.
Mbunge Lema akiwa sambamba na wanaarusha wakitoka mahakamani kwenda makao makuu ya Chadema Arusha
Kizazi kipya kinanjaa ya mabadiliko na ukombozi wa kifikra, kielimu na kiuchumi na Chadema ndio tegemeo lao.
Mabobu na vifo vya wahanga havijawafunja moyo, ila ndo mafuta yameongezwa ili utambi umulike zaidi.
sisemi hapo kuna vurugu lakini hiki kiumati ukijichanganya nacho wawezwa porwa, ndugu yangu hili lilimtokea najua wawezwa porwa popote pale lakini hapo lazima hujiami zaidi. halafy maneno yanayo toka katika hiki kiumati ni yachuki sana na yakufuata mkumbo wengi wao hawana bora la kufanya.
Yes!! CHADEMA ni chama kna kamati kuu! yenye maamuz ya mwsho na hayaingiliw na mamlaka nyngne, so hao madiwa km wal2mwa kuvuruga Chama wameshndwa!! Mahakama mmefanya kaz yenu!! saf sana!!