Picha Chedema washangilia kushinda kesi dhidi ya madiwani waasi

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,877
6,831
Wanachama wa Chadema pamoja na mbunge wao Lema wakiandamana kutoka mahakamani baada ya kushinda kesi iliyofunguliwa na madiwani waliofukuzwa uanachama baada ya mahakama kutupilia mbali madai yao na hivyo kukipa Chadema ushindi wa kesi hiyo.

S6300408.JPG

Mbunge Lema akiwa sambamba na wanaarusha wakitoka mahakamani kwenda makao makuu ya Chadema Arusha

S6300411.JPG

Kizazi kipya kinanjaa ya mabadiliko na ukombozi wa kifikra, kielimu na kiuchumi na Chadema ndio tegemeo lao.

S6300407.JPG

Mabobu na vifo vya wahanga havijawafunja moyo, ila ndo mafuta yameongezwa ili utambi umulike zaidi.
 
Quinty

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
462
74
Kesi zote zitafutwa na maana hazina misingi ya kisheria kusimama mahakamani. Hii ni njia tu ya CCM kuwavunja moyo wanachama wa CDM kwa kuwaonyesha chama chao kinavunja sheria na wakati si kweli. Sasa kwasababu hakuna aliye juu ya sheria na itachukua mkondo wake kesi zitafutwa na hatimaye kukijengea CDM sifa na kukiharibia CCM kwa tabia yao ya kutumia mahakama kama chombo cha siasa kwa faida yao na wakati chombo hicho chaendeshwa na kodi zetu wananchi na hali yetu ya chini tuliyonayo. CCM MSHINDWE
 
i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
842
208
Hizi siasa za vurugu sijui kama zitawafikisha mbali chadema najua wengi mtapinga humu, haka nikama kamovi kanajirudia tena walianza NCCR na mrema kipindi cha mkapa. ikaja cuf fujo na vurugu wee na sasa chadema imepigiwa pasi yaendelea na siasa vurugu. Kuna kitu watuwengi hawajui kunavijisababu vipo pekee tofauti kwa Tanzania siasa vurugu haitoboi. Siasa vurugu inawezekana kenya labda sio bongo au ruanda au kwa mtemi m7. labda NATO iingilie kigaidi kama kawaida yake.
 
Pukudu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
3,144
2,155
sasa wewe hapo kuna vurugu gani?? Acha propaganda zenu vurugu vurugu ukiiona vagi utalijua wewe acha uchapati
 
i411

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
842
208
sisemi hapo kuna vurugu lakini hiki kiumati ukijichanganya nacho wawezwa porwa, ndugu yangu hili lilimtokea najua wawezwa porwa popote pale lakini hapo lazima hujiami zaidi. halafy maneno yanayo toka katika hiki kiumati ni yachuki sana na yakufuata mkumbo wengi wao hawana bora la kufanya.
 
mukama talemwa

Senior Member
Jun 14, 2011
160
28
Hizi siasa za vurugu sijui kama zitawafikisha mbali chadema najua wengi mtapinga humu, haka nikama kamovi kanajirudia tena walianza NCCR na mrema kipindi cha mkapa. ikaja cuf fujo na vurugu wee na sasa chadema imepigiwa pasi yaendelea na siasa vurugu. Kuna kitu watuwengi hawajui kunavijisababu vipo pekee tofauti kwa Tanzania siasa vurugu haitoboi. Siasa vurugu inawezekana kenya labda sio bongo au ruanda au kwa mtemi m7. labda NATO iingilie kigaidi kama kawaida yake.

Hivi hapo kwenye red vipi ?Angola kuna nini ?Sasa nyinyi mmezidi kulalamika hata pale ambapo hapafai,unasema vurugu sasa hapa kuna vurugu gani?Angalia Pinda anacho fanya huko Mara kazi yake ni kulalamika amelalamikia Barrick mara polisi sasa watu wanafanya nini maofisini kwa maelezo yake inabidi OCD wa Tarime,RPC Rolya OCS wa Sirali wote inatakiwa wawe wamewajibishwa tayari maana Pinda anasema kuwa wanaushahidi wa kusindikiza magari,kwahiyo anatuambia sisi tufanyeje?CCM ACHENI KILA KITU KULALAMIKA
 
DEVINE

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
538
86
CDM ni imara na tunapoelekea ndivyo wananchi wanavyo funguka,amna ubishi tunaelekea kwenye mabadiliko pia.Kama ni mwana historia hata nchi za ulaya katika kutafuta demokrasia waliandamana na kuelimisha watu wao hapo ndipo tawala kandamizi zilivyo angushwa.Kwa hiyo tunahitaji vitendo vya namna hii ili tawala mbovu TZ ziondoke.
 
ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,466
Wanachama wa Chadema pamoja na mbunge wao Lema wakiandamana kutoka mahakamani baada ya kushinda kesi iliyofunguliwa na madiwani waliofukuzwa uanachama baada ya mahakama kutupilia mbali madai yao na hivyo kukipa Chadema ushindi wa kesi hiyo.

S6300408.JPG

Mbunge Lema akiwa sambamba na wanaarusha wakitoka mahakamani kwenda makao makuu ya Chadema Arusha

S6300411.JPG

Kizazi kipya kinanjaa ya mabadiliko na ukombozi wa kifikra, kielimu na kiuchumi na Chadema ndio tegemeo lao.

S6300407.JPG

Mabobu na vifo vya wahanga havijawafunja moyo, ila ndo mafuta yameongezwa ili utambi umulike zaidi.

CHADEMA A-town mko juu, Mungu awatangulie tutafika na roho ya namna hiyo itawafikia mikoa iliyotelekezwa elimu ya utambuzi na CCM hasa mikoa ya kati
 
Katabalo

Senior Member
Mar 29, 2011
115
14
Yes!! CHADEMA ni chama kna kamati kuu! yenye maamuz ya mwsho na hayaingiliw na mamlaka nyngne, so hao madiwa km wal2mwa kuvuruga Chama wameshndwa!! Mahakama mmefanya kaz yenu!! saf sana!!
 
kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,056
165
sisemi hapo kuna vurugu lakini hiki kiumati ukijichanganya nacho wawezwa porwa, ndugu yangu hili lilimtokea najua wawezwa porwa popote pale lakini hapo lazima hujiami zaidi. halafy maneno yanayo toka katika hiki kiumati ni yachuki sana na yakufuata mkumbo wengi wao hawana bora la kufanya.

kazi ipo a town!
 
Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,877
6,831
Yes!! CHADEMA ni chama kna kamati kuu! yenye maamuz ya mwsho na hayaingiliw na mamlaka nyngne, so hao madiwa km wal2mwa kuvuruga Chama wameshndwa!! Mahakama mmefanya kaz yenu!! saf sana!!

Umeona hiyo kweli sasa, kwani haki hata ukiipindisha vipi itakuja shinda tu.
 
betty marandu

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
983
515
Hizi siasa za vurugu sijui kama zitawafikisha mbali chadema najua wengi mtapinga humu, haka nikama kamovi kanajirudia tena walianza NCCR na mrema kipindi cha mkapa. ikaja cuf fujo na vurugu wee na sasa chadema imepigiwa pasi yaendelea na siasa vurugu. Kuna kitu watuwengi hawajui kunavijisababu vipo pekee tofauti kwa Tanzania siasa vurugu haitoboi. Siasa vurugu inawezekana kenya labda sio bongo au ruanda au kwa mtemi m7. labda NATO iingilie kigaidi kama kawaida yake.

Mbona sikuelewi vurugu kushangilia ushindi wa cdm dhidi ya waasi?
Au wewe ni mmojawapo wa madiwan waliotemwa ?
Pole jaman hayo ndo matunda ya usaliti.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom