PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

Sishangai kuona huo umati, kwa miaka kumi mmekuwa mkikusanya idadi kubwa ya watu kwenye mikutano yenu!
Watu wanapenda tu kuja kusikia pumba zenu! Hawakubaliani na mnachoongea, ndio maana kila uchaguzi mnagaragazwa vibaya na CCM.

Ulicho andika na nafsi yako vinapingana, siku zote nafsi iko sahii kama ni ushindi mmekuwa mkipata wa mezani (kuchakachua), huwezi kukusanya maelfu kuja kusikiliza pumba labda mwendawazimu atakubaliana na wewe.

Na je werevu ndio wale ambao huletwa kwa kubebwa na magari na kupewa 5000 na kusikiliza point za nguvu? Nafurahi kila mtu ana nafsi na yakwako inakusuta..!

Sishangai kuona huo umati, kwa miaka kumi mmekuwa mkikusanya idadi kubwa ya watu kwenye mikutano yenu!

Watu wanapenda tu kuja kusikia pumba zenu! Hawakubaliani na mnachoongea, ndio maana kila uchaguzi mnagaragazwa vibaya na CCM.

Kwani wanashinda kihalali hao zaidi ya kuiba kura???stop talking nonsense

kamanda mwaluko pankras ndejembi amerudisha kadi ya gamba leo.
sijawahi kufurahi kama leo,wana arusha leo wameitendea haki demokrasia.mgombea udiwani kata ya elerai kwa tkt ya ccm karudisha gamba lao.

hii ni noma kaka, CDM ni soo mbaya, usipime mkuu, hili ndilo chama la wajanja. hao wote wamekwenda wenyewe hawakubebwa na mafuso. i am proud to be a member of CHADEMA

cdm wanatiosha mkubwa huo umati si wa kitoto hata magamba wakae mwezi mzima wakisomba watu vijijini hawawezi kuufikia.peopleeeeeiizz powerr

kesho utamsikia tendwa akisema kuna chama kimeanza kampeni kabla ya mwaka 2015

mkuu hii umepost sawia hakika makamanda hawa hawana woga nadhani unakumbuka na kale kakijitabu kanachosisitza utii wa sheria, kilichotolewa na wzara mambo ya ndani

Namba 7 nimeipenda kwa idhini yako mkuu naomba iwe signature yangu katika ID yangu nyingine.

Sasa naweza kushut down laptop yangu na kwenda kupata grass ya Wisky mtaani. Picha zinajieleza sina la kuongea.
nimeipenda hii, but kidogo spelling mkubwa, mi nakusaidia kwa ka red wine kwa mbali huku nACHANGIA hOJA.

Sishangai kuona huo umati, kwa miaka kumi mmekuwa mkikusanya idadi kubwa ya watu kwenye mikutano yenu!

Watu wanapenda tu kuja kusikia pumba zenu! Hawakubaliani na mnachoongea, ndio maana kila uchaguzi mnagaragazwa vibaya na CCM.

Laiti ungelikuwepo inamaana ucngeliogea u2mbo huu, mtzd wa leo c o ule wa juzi, pia hao madiwani hawakujichagua wao wnywe kama Nape anawataka awachukue ccm ndio hivyo tena c o bahati.

Hili nyomi lote mida hii saa 5.30 usiku bado liko macho???

Viva chadema viva cdm viva slaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...............????
There are currently 490 users browsing this thread. (113 members and 377 guests)

Tumeshuhudia wenyewe ITV wameonyesha Hongere wana Arusha kwa kuwa wanamabadiliko nyie ni chachu kazeni buti

Magamba hapa hawana kitu tena bado tu 2015 tuwamalize na roho zao mbaya.

Kama kusoma hawatasoma, na kusikia wasiposikia, basi waone tuu picha halafu waelewe!

Weekday yote kama hii watu wameacha kazi wameenda kwenye mkutano!! Tanzania tutakua maskini milele maanina zetu

wkday umeiyona wewe. Wa2 huku hakuna umeme hakuna mafuta hata ajira zao binafsi zimeCmama. Serikali yao imekaa kimya. Kwa taarifa yako huu mkutano umewapa wa2 ma2maini kwamba kupitia chama makini maisha yanawezekana.

Leo watu ndo kumekucha??

live longaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa cdm

There are currently 504 users browsing this thread. (109 members and 395 guests)

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…