Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,306
Wewe umecomment leo kwenye hii thread na bado unauliza full story! are u realy serious? ina maana bado huna taarifa ya kilichojili Arusha!! any way boftya hapo juu kwenye fikra pevu ili upate full story.mleta mada, twasubiri full story kama ulivyoahidi. Chadema Mungu awabariki waendelee kupambana kutetea haki za wengi.
kila siku nikiwasikia hawa watwana wetu, hujifariji kwa kuwaponda chadema eti miaka mitano c mingi. what will happen after five yrs wananchi bado wakaunga mkono VYAMA MBADALA HASA CHADEMA?
MUNGU tuoongoze vijana, tuwe na busara za kuwashawishi hata wazee waliokulia ndani ya CCM, wabadili mwelekeo, wapime tangu waipe ccm kutawala wamefanya nini kuleta maendeleo ya jamii?
ccm wazushi wamechoka, tuwapumzishe.
<br />Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!
Hahahahaha Picha remix hii sio yenyewe nilikuwepo uwanjani wadau ziangalieni picha hizi ni za kuunga! Kweli uongo ni aina ya unafiki! Angalieni picha hizi vizuri zimechakachuliwa!
- :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!
Viva chadema, zidumu fikra za chadema na walaaniwe magamba.i wish tanzania yote ingekuwa kanda ya kas.saa ya ukombozi
Aiseee hapo ndio mwisho wako wa kufikiri eti?
- :lol: Only Time will Tell, CHADEMA INA NGUVU YA KANISA, UNAONA UBABE NA VITISHO WANAVYOTOA WAKATI WANAPODAI WANCHOKIITA HAKI? INGEKUWA NI CUF UNGESIKIA A LOT OF BLAA BLAA! LAKINI LETS WAIT AND SEE!