Kweli hasara yao faida yetu.
Wakati Jk analalamika kuwa kushindwa ku-deliver kwa watendaji wake kumesababasha wananchi waichukie serikali yake ya nyinyiem, chadema wao wanaelimisha umma namna ya kuchangia katika mabadiliko ya katiba kwa kupunguza madaraka ya rais kuteua hao anaowalalamikia, na hivyo inasababisha furaha kubwa na raia na kuhitimisha furaha yao kwa kuvua gamba na kuvaa gwanda.
Mavuno ni mengi kweli kwa chadema kwa kila kona ya nchi.