Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,347
- 271,709
Pamoja na kwamba huu ni msimu wa kilimo lakini Wananchi waliamua kusitisha kulima kwa muda kwa ajili ya Uhai wao, ikumbukwe kwamba siasa ni Uhai.
Kwa niaba yao nasema asanteNawapongeza sana wandamba, wapogoro, wambunga na wengineo waliochukua hatua kwa ajili ya future yao.
Hakuna kijiji kitaachwa