PICHA: CCM Yazungumza na WANANCHI wa TEMEKE

PICHA: CCM Yazungumza na WANANCHI wa TEMEKE

CCM wameanza kuiba mpaka masecretary?Hoja yao kwasasa CCM ni Ipi?CDM au kutekeleza ilani na ahadi zao walizo toka 2010?
 
jamani huruma je TMK wasingekuwepo inamaana watu wangepitiliza na hamsini zao huyo demu kavurunda M4C mafisadi wamemkimbilia ana nini kabaki jina tu
 
jamani huruma je TMK wasingekuwepo inamaana watu wangepitiliza na hamsini zao huyo demu kavurunda M4C mafisadi wamemkimbilia ana nini kabaki jina tu
 
Watanzania mjilaumu wenyewe kwa matukio mabaya yanayoendelea nchini kwa sasa!! Serikali ya ccm haikuingia mstuni na kutwaa madaraka bali mliipa kura kwa ushabiki wenu wenyewe!!! Hiyo ndiyo kasi mpya... na ndiyo madhara ya kupiga kura kama vipofu!!
 
hawa ndio wananchi
sio nyinyiem imekusnya wakina mama kutoka kona zote za dar kwa mafuso
kisha mnasema wananchi

attachment.php

Kwa hali hii kwanini CCM isianzishe sakata la udini ili kuendelea kuwepo madarakani? Maana wananchi hawaiungi mkono!
 
Saturday, February 16, 2013

Nape:BUNGE KURUSHWA LIVE KUTAIMALIZA CHADEMA..
*Asema wananchi wanakerwa na fujo zao bungeni.
*Adai zitapunguza idadi ya wabunge wao bungeni.
*Zitashusha hadhi yao kwa umma.
*Asema walitumwa kutetea wananchi, si kufanya fujo.

35.jpg

Juliana Shonza akihutubia wakazi wa Temeke juu ya maamuzi yake thabiti ya kujiunga na CCM
40.jpg

Mtela Mwampamba akiwaeleza wananchi wa Temeke mapungufu makubwa ya kidemokrasia yaliyopo kwenye vyama vya upinzani na hivyo kumfanya yeye binafsi kuchukua uamuzi wa kujiunga na CCM.
47.jpg

Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake , Saumu amejiunga rasmi CCM baada ya kugundua chama alichokuwepo kinahubiri haki nje wakati ndani hamna haki kabisa.
63.jpg

Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi, akihutubia wananchi wa Wilaya ya Temeke na kuwahakikishia kuwa CCM itaisimamia serikali itekeleze ilani yake ya Uchaguzi kwa asilimia 100.
50.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Ndugu Sophia Mjema akiwapungia wananchi wa Temeke wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile ,Temeke ,Mwisho.
kwa picha zaidi bofya read more

77.jpg

Wananchi na Wapenzi wa CCM kutoka kata ya Kilakala,Yombo kama walivyojitambulisha ,walisema Nape ameongea mambo mengi ya msingi na kumtakia heri aendelee kufanya kazi nzuri.
15.jpg

Wasanii wa kikundi cha TMK wakitoa burudani kwenye uwanja wa nyumbani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke,tarehe 16/2/2013.
61.jpg

Baadhi ya wananchi wakionekana kuelewa vizuri maneno ya viongozi wao.
4.jpg

Kikundi cha Hamasa cha CCM,Temeke kikihamasisha kwa aina yake wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke.
​
Hizo jezi za kijani na njano walikuja nazo au walipewa hapo hapo mkutanoni?
 
Re: Dodoma: UVCCM wafukuzana, Paul Makonda afukuzwa ujumbe Baraza Kuu Taifa
Kikao cha baraza kuu uvccm kinaendelea saizi katika ukumbi wa nec wajumbe wamempa mwenyekiti wa uvccm taifa sadifa condition zifuatazo lasivyo watamngoa (1)aombe radhi hotuba Yake ya Jana haikua ya kiuungwana (2) aombe radhi kumfukuza Jamal naibu karibu mkuu Zanzibar alivunja kanuni (3) afute uteuzi wa wakuu wa idara aliowateua Jana alivunja kanuni (4) yeye na Makamu mboni mhita waache Tabia ya kuzungukana (5) amuombe radhi mwenyekiti wa uvccm mkoa wa iringa dada tumaini kwa kumdhalilisha kijinsia alimtaka kimapenzi tumaini akamkatalia Jana kwenye kikao cha baraza sadifa akaamua kumdhalilisha dada tuma nae akasimama akasema yeye in binti wa kihee hayupo tayari kuona anadhalilishwa akaamua nae kumwaga mboga kwa kuwaonyesha wajumbe we baraza kuu uvccm message alizokuwa anatumiwa na sadifa za map enzi. " ukimwaga ugali nami sasa namwaga mboga (6) aheshimu viongozi wenzie asifokee Watu (7)afute uteuzi wa wajumbe wawili wa baraza aliowateua kwa kuwa ni Mashoga, Kuteua Mashoga ni kukidhalilisna chama ccm kitaonekana ni chama cha Mashoga kwa maana hata yeye mwenyekiti sadifa ni Shoga kuongeza nafasi za uteuzi kwa Mashoga hauleti uwiano wa uwakilishi wa makundi ya jamii.nitaendelea kuwajulisha yanayoendelea.....​

Last edited by Agwambo; Yesterday at 16:32.​
 
Huu mkutano si wangeuita mkutano wa wanachama wa CCM. Naona kila mtu amevaa njano

Hivi ccm ndiyo chama cha upinzani? Mbona kinaipinga sana CHADEMA? Na hivi ni lazima sana kila ambako inapita CHADEMA na wao magamba wafuate nyuma? Aibu kweli jamni. Yaani hadi nashindwa kueleza namna ya.....NI AIBU KWA CHAM TAWALA KUFUATA NYAYO ZA CHADEMA. Ina maana kwa sasa hawana sera zaidi ya KUCOPY na KUPASTE kutoka kwa CHADEMA. AIBU KWELI.
 
Saturday, February 16, 2013

Nape:BUNGE KURUSHWA LIVE KUTAIMALIZA CHADEMA..
*Asema wananchi wanakerwa na fujo zao bungeni.
*Adai zitapunguza idadi ya wabunge wao bungeni.
*Zitashusha hadhi yao kwa umma.
*Asema walitumwa kutetea wananchi, si kufanya fujo.

35.jpg

Juliana Shonza akihutubia wakazi wa Temeke juu ya maamuzi yake thabiti ya kujiunga na CCM
40.jpg

Mtela Mwampamba akiwaeleza wananchi wa Temeke mapungufu makubwa ya kidemokrasia yaliyopo kwenye vyama vya upinzani na hivyo kumfanya yeye binafsi kuchukua uamuzi wa kujiunga na CCM.
47.jpg

Saumu Kisena akionyesha kitambulisho chake , Saumu amejiunga rasmi CCM baada ya kugundua chama alichokuwepo kinahubiri haki nje wakati ndani hamna haki kabisa.
63.jpg

Katibu wa NEC ,Itikadi na Uenezi, akihutubia wananchi wa Wilaya ya Temeke na kuwahakikishia kuwa CCM itaisimamia serikali itekeleze ilani yake ya Uchaguzi kwa asilimia 100.
50.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Temeke ,Ndugu Sophia Mjema akiwapungia wananchi wa Temeke wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile ,Temeke ,Mwisho.
kwa picha zaidi bofya read more

77.jpg

Wananchi na Wapenzi wa CCM kutoka kata ya Kilakala,Yombo kama walivyojitambulisha ,walisema Nape ameongea mambo mengi ya msingi na kumtakia heri aendelee kufanya kazi nzuri.
15.jpg

Wasanii wa kikundi cha TMK wakitoa burudani kwenye uwanja wa nyumbani wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke,tarehe 16/2/2013.
61.jpg

Baadhi ya wananchi wakionekana kuelewa vizuri maneno ya viongozi wao.
4.jpg

Kikundi cha Hamasa cha CCM,Temeke kikihamasisha kwa aina yake wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Pile, Temeke.
​
mbona kuna viti havina watu,au wamewekewa watu maalum?
 
Haka naona tayari Ma-CCM wameshakaelewesha tayari somo la KICHINA, Chezea CCM wewe......

35.jpg

attachment.php

Hebu Boflo aje atupashe kama nayeye alimpa somo huyu Bibie.
 
watakuwa wakilamba matapishi ya CHADEMA mpaka lini?
 
Back
Top Bottom