Amependeza sana na hii T-Shirt. Good boy!!
Mimi nashandaa ana edit Heading anaacha T-shirt , si ange-edit na T-shirt pia au elimu ya Mods kuhusu IT ndo imeishia hapo? Sijuhi anatumia html version ya ngapi huyu mod.Kweli kupenda kubaya jamani mpaka akili inajifunga'sasa hapo ccm wameumbuka kwa lipi?
Mwana CCM huyo kwani humjui?Sasa LEMA naye kwanini atinge hiyo tshirt mbaya hivyo?
Ukickia mtu kutukanwa kikubwa ndio kama hivyoSasa LEMA naye kwanini atinge hiyo tshirt mbaya hivyo?
Tutapanga kwani vipi unataka kuhudhuria...karibu sana
people's..............[/QUO
SISIEMU IMEZIDI KUJIMALIZA, INAJIMALIZA YENYEWE KARIBU HATA KATIBU MWENEZI NA PROPAGANDA ATATAYAKIMBIA MAGAMBA.
Mimi nashandaa ana edit Heading anaacha T-shirt , si ange-edit na T-shirt pia au elimu ya Mods kuhusu IT ndo imeishia hapo? Sijuhi anatumia html version ya ngapi huyu mod.
Umenikumbusha Katibu wa Propaganda Chama fulani anayeitwa TAMBWE HIZA. Yuko wapi siku hizi?people's..............[/QUO
SISIEMU IMEZIDI KUJIMALIZA, INAJIMALIZA YENYEWE KARIBU HATA KATIBU MWENEZI NA PROPAGANDA ATATAYAKIMBIA MAGAMBA.
Sasa kuumbuka nini hapo ukizingatia watu alio wahutubia hawazidi kumi kwa mujibu ya picha kwanza jiimarisheni tz muachane na siasa za kikanda baadae hayo yatafuata sio kila jambo mnaiga tu mkizingatia ukanda wa pwani wa tz hamjakubalika
Kwa nchi hii ilivyo tajiri hukutakiwa kutamani kwenda huko...