Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
Eti wananchi wamekerwa na matamshi yake na wameanza miguno,sasa nani kawafunga miguu wakae hapo,wananchi mazuzu haoSasa wananchi wamekerwa na matamshi yake na wameanza miguno.
Huyu kijana mnamfahamu?naona anafanya kampeni yake facebook,huko mtaani mnamfahamu?Wakuu sasa hivi kuna mkutano unaendelea uliondaliwa na CCM ngazi ya wilaya mbali na kukosa watu kituko kikuu ambacho kinaweza kuzua mtafaruku ni maneno ya katibu wa wilaya CCM ,anasema viongozi wa dini hawana mamlaka ya kuwasemea waamini wao kwani hata wao hakuna msafi,ameenda mbali zaidi kwa kumtaja askofu flani jina kapuni kwamba alichaguliwa kwa rushwa.
Mkutano huu wa CCM umeandaliwa kujibu mapigo kufuatia mkutano mkubwa wa wazi ulioandaliwa na makanisa yote ya kikristo ya wilaya Kibondo siku ya jumapili ,ambao pamoja na mambo mengine katika mkutano wa umoja wa kidini uliwahamasisha waamini wao waipigie kura ya hapana katiba pendekezwa.
Sasa wananchi wamekerwa na matamshi yake na wameanza miguno.
Huyu kijana mnamfahamu?naona anafanya kampeni yake facebook,huko mtaani mnamfahamu?
Kina mzee Makamba kunukuu vifungu vya biblia na msahafu ni sawa ila Maaskofu na mashehe wakinukuu Katiba ni jinai?
we unadhani ccm watampitisha agombee?acha upinzania najua ccm hawana lao pale,ila huyu hata ccm watampitisha?Huyu gamba namfahamu,tunamfahamu,hawezi tusumbua wanaMuhambwe kwa sababu wananchi wanamtaka mbunge na diwani anaetokana na wao wenyewe,na si mtu anaegeuza jimbo na wananchi kama vitalu vya kuwindia ,anaekuja kukagua kitalu kama kuna wananyama then anarudi ughaibuni,yeye aendelee kujidanganya kwamba atachaguliwa kwa sababu tu eti amesomea nje
we unadhani ccm watampitisha agombee?acha upinzania najua ccm hawana lao pale,ila huyu hata ccm watampitisha?
we unadhani ccm watampitisha agombee?acha upinzania najua ccm hawana lao pale,ila huyu hata ccm watampitisha?
Mada zingine za kilevi kweli.