Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,630
Huu ni ufinyu wa akili na fikira kama kweli bado kuna mtu au watu wanaamini ktk wingi wa watu ktk kupata ushindi ktk siasa. Kama watu wengi ktk mikutano Dr Slaa na Mrema wangekuwa maraisi. Bahati mbaya pia, nimegundua ktk kipindi hiki uelewa wa watz umeshuka sana, tunapelekwa tu na kila aina ya upepo.
Dr. Slaa aliibiwa kura vibaya sana. Hata usiongee hapo..