Picha: CCM chama kilichojaa wanafiki, kinachokosa uadilifu

Picha: CCM chama kilichojaa wanafiki, kinachokosa uadilifu

Kwenye ujambazi mweke lema na kutoa roho za watu viongozi wako wahahusika kumba chacha wangwe chadema walimfanya nini.


Hatujui! Tuambie walimfanya nini na serikali yako sikivu ya ccm inayoendeshwa kwa misingi ya sheria ilichukua hatua gani kwa chadema?
 
Picha zina midomo na sauti hizi, Usipozielewa labda ni kiziwi!
 
Nimeipenda picha hii, hawa ndiyo walikuwa wazalendo wa kweli - kwa mbali namwona Jaji Warioba those days akiwa bado kijana kijana.

attachment.php
 
Hapa kuna Sheria itatungwa au kuwa kuwa reviewed kweli na huyu mtunga sheria wa bunge?
 
kuna mtu alipost mada kua CCM ndio chama kinachoongoza kupendwa na wasomi..we need to awaken the sleeping minds
 
Sasa hivi Msemaji wa Chama amemtaka Naibu katibu mkuu arudishe fedha aizotumia akiwa Marekani na Uingereza kwa Ziara binafsi.Naibu Katibu Mkuu naye ametaka matamko ya msemaji wa Chama yadhibitiwe maana mengine ni matamko binafsi

Sasa nani wa kumwamini? Cc Elli
 
Last edited by a moderator:
Unajua muanzisha mada anajaribu kuweka mambo hadharani, na huu ni ukweli usiopingika hata kwa baadhi ya misukule inayochukulia kama hapa ni pa kutukanana kati ya ccm na cdm. Mimi niseme kuwa nilishawahi na pengine naendelea kutafakati kuwa watanzania labda tulimkosea Mungu kwa hiyo hapa ndo tuko jehanam. Lakini yote ni kwa ajili ya ccm. Pengine yawezekana kuwa CCM ni moja ya nafsi za lusifer inayoendeleza mateso kwa watanznaia. Mungu atusamehe basi kama kweli tuko jehanamu.
 
Km slaa alivopora mke wa ndoa wa mahimbo

Mnazidi kumuaibisha mwanaume mwenzetu alaa, mke anaenda kwa bwana mwingine unalia-lia ka kavulana kaliko balehe jana...! afu na wewe unashadadia mtu mzima kufanywa sanamu na chama chako,...!
 
Katibu wao mstaafu alipigwa nyundo huko kigoma katika purukushani za kukabaka kanafunzi ka kiha,

Mpaka leo analinundu usoni
 
Kwa sasa chadema ni kama kundi la taaramu wanazodoana tu katibu mkuu mwizi,mwenyekiti fisadi hao bavicha ndiyo usiseme tena.

ata uwe na mdomo mkubwa kama wa Nape Nnawie huwezi kuimba kwaya peke yako. Sasa wewe dada Simiyu unabaki kuropoka tu., Mbowe , Slaa without mention any fact. Yani unajizalilisha wewe na wazazi wako aswa mama yako aliekuzaa, na unatulazimisha tukumbuke ule msemo usemao "MTOTO WA NYOKA NI NYOKA TU"
 
Nimependa hii aka mpya(cc-harm).ni genge la manyanganyi wakiungwa mkono na wachumia tumbo wachache.
 
Back
Top Bottom