Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,761
Hakika chama kilicho jikita kwenye mambo yote mambaya ni cham cha mapinduzi, hakika hata Baba wa taifa leo hii akifufuka hata baki CCM hata kwa sekunde tano kwani kwasasa CCM ndicho chama kinachofuga majangili wakiongozwa na kinana, jeshi la polisi ndiyo wanao tumika kuua tembo na kuuza madawa ya kulevya tena kwa kutumia magari ya serikali.
viongozi wa CCM wamekuwa wanafiki kupindukia kama huyu hapa chini
Huyu mama anajifanya anauchungu sana na watanzania na kulia hovyo kwenye misiba kama kwamba kafiwa na mme kumbe unafiki mtu haja wasaidia lolote hao alikuwa anawalilia, alijifanya kukomaa kwenye swala la richmond sasa hivi kafaumba macho kumbe zilikuwa ni harakati za kumtafutia mmewe ambae alikuwa anautafuta urais kwa udi na uvumba licha ya kuwa ni mwizi/ jambazi alieficha pesa uswiss.
VS
huyu nae anajifanya anaupendo na watoto huyu wakitiwa mimba anasema ni vihele here vyao.

VSView attachment 118195
Yamejaa usanii tu huku maisha ya watanzania yakiwa taabani
siku zote nayachukia sana haya majangili yaani ni bora kuishi na nyoka kuliko kuishi na CCM...
viongozi wa CCM wamekuwa wanafiki kupindukia kama huyu hapa chini
Huyu mama anajifanya anauchungu sana na watanzania na kulia hovyo kwenye misiba kama kwamba kafiwa na mme kumbe unafiki mtu haja wasaidia lolote hao alikuwa anawalilia, alijifanya kukomaa kwenye swala la richmond sasa hivi kafaumba macho kumbe zilikuwa ni harakati za kumtafutia mmewe ambae alikuwa anautafuta urais kwa udi na uvumba licha ya kuwa ni mwizi/ jambazi alieficha pesa uswiss.
VS
huyu nae anajifanya anaupendo na watoto huyu wakitiwa mimba anasema ni vihele here vyao.
VSView attachment 118195Yamejaa usanii tu huku maisha ya watanzania yakiwa taabani
siku zote nayachukia sana haya majangili yaani ni bora kuishi na nyoka kuliko kuishi na CCM...
===============View attachment 118254
Hapa Mwenyekiti wao akionyesha unafiki wa hali ya juu sana alimfata mwandishi wa wa Mwanahalisi (kubenea baada ya kumwagiwa tindikali na kukatwa katwa mapanga na vijana wa CCM lakini cha ajabu licha ya Saidi Kubenea kuwajua walio mfanyia hivyo kikwete alimwahidi atawafikisha mbele za sheria lakini mpaka leo hii hakuna hata bata aliefikishwa mahakamani kwa kuzuliwa kwa kubenea cha zaidi yeye ndiyo kaadhibiwa...
Uzinzi tu ndio kitu wanakifahamu nchi imedumaa kwa sababu mawazo ya MACCM ni kuzini tu![]()

