Picha Bora za Siku

Picha Bora za Siku

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Tukutane 25.10.2015.....
 

Attachments

  • 1442680679182.jpg
    1442680679182.jpg
    50.7 KB · Views: 1,385
  • 1442680690747.jpg
    1442680690747.jpg
    37.6 KB · Views: 1,204
  • 1442680702087.jpg
    1442680702087.jpg
    48.9 KB · Views: 1,191
  • 1442680718727.jpg
    1442680718727.jpg
    62.9 KB · Views: 1,157
  • 1442680752097.jpg
    1442680752097.jpg
    46.2 KB · Views: 1,185
Hali ya Lowassa inabadilika siku kwa siku na anaonekana mwenye furaha kuanzia amehamia Chadema. Watu wanaomwita mgonjwa hawajui tu ni namna gani maumivu na stress ya kusalitiwa inaweza ku affect afya ya mtu........

Angalieni picha kipindi akiwa CCM na sasa hivi na utagundua kuna tofauti kubwa sana kiafya ya huyu mzee.

Tuombe kwa mungu uchaguzi huu uwe fair na tulivu maana najua kuna watu wachache wajing ambao wataleta vurugu endapo mambo yasipoenda vizuri.
 
Katiba ya sasa ya Tanzania, ibara ya 37, tunapokwenda kwenye uchaguzi ni muhimu kujikumbusha. Maamzi yetu October 25 na Mustakbali wa Nchi yetu....

Discharge of duties and function of President Act No. 15 of 1984 Art.9;<o😛></o😛>
37.-(1) Apart from complying with the provisions contained in this Constitution, and the laws of the United Republic in the performance of his duties and functions, the President shall be free and shall not be obliged to take advice given to him by any person, save where he is required by this Constitution or any other law to act in accordance with the advice given to him by any person or authority.

Act No.4 of 1992 Art.12; Act No.34 of 1994 Art.6; Act. No.1 of 2005 Art.9; G.N.No.133 of 2001; G.N.No.150 of 2005

(2) Where the Cabinet finds that the President is unable to discharge the functions of his office by reason of physical or mental infirmity, it may submit to the Chief Justice a resolution requesting him to certify that the President by reason of physical or mental infirmity, is unable to discharge the functions of his office.

Upon receiving such a resolution, the Chief Justice shall appoint a medical board of not less than three persons from amongst experts recognized as such by the law governing medical practitioners in Tanzania and such board shall inquire into that issue and advise the Chief Justice accordingly, and he may, after considering the medical evidence, present to the Speaker a certificate certifying that the President, due to physical or mental infirmity, is unable to discharge the functions of his office; and if the Chief Justice does not rescind that certificate within seven days for the reason that the President’s condition has improved and he has resumed work, then it shall be deemed that the office of the President is vacant, and the provisions contained in subarticle (3) shall apply.

(3) Where the President is absent from the United Republic, or is unable to discharge the functions of his office for any other reason, the duties and functions of the President shall be discharged by one of the following, in the order specified, that is to say -

(a) the Vice President or, if his office is vacant or if he is also absent or is ill; then

(b) the Prime Minister.
 
Hodo hodi Bukoba...mabadiliko yakipiga hodi hayasubiri kufunguliwa!
​

Bukoba1.jpg
Bukoba2.jpg

Bukoba3.jpg
 
Wameaga majumbani kwao kuwa wanaenda kudanganya na kulaghai wananchi ili ikulu ihamie majumbani mwao! Wamechemsha
Umesahau kitu kimoja mdogo wangu WayOut, wapo waliotudanganya na kutulaghai kwa miaka hamsini na ushee, je na hao unawaambiaje? Hilo moja likini la pili ni kwamba hawa wanatuhubiri mabadiliko, je unajua maana ya mabadiliko? Kama unaamini kwamba na wao watatudanganya na kutulaghai, tunayo miaka mitano tu ya kuwavumilia na nadhani hiyo miaka mitano kwa kiwango chochote kile ni heri kuliko miaka hamsini ya uongo na ulaghai. Pia kwa ufahamisho tu tukiweza kuwaondoa hawa walaghai wa miaka yote hiyo ya CCM, tutakuwa tumetoa funzo kwa waongo na walaghai ambao wanatafuta kuingia madarakani kwamba uongo na ulaghai si ruhusa tena. Utakuwa ni uenda wazimu kuwarudisha wale wale waliotudanganya na kutulaghai miaka yote hiyo tukitegemea mambo tofauti.
 
Last edited by a moderator:
Ocampo four picha zako ni nzuri sana. Lakini hizo zikisindikizwa na hili bango itakuwa maridadi sana.
ImageUploadedByJamiiForums1442692430.372572.jpg
 
Last edited by a moderator:
Ccm Hapo Roho Zinawauma Sana Lakini Tutafanyaje Na Watanzania Wameamua Kuwa Mwaka Huu Hamchaguliwi.

Yaani Nangoja Visingizio Vya Ccm Tarehe 27 Baada Ya Lowasa Kuingia Ikulu
 
Ccm Hapo Roho Zinawauma Sana Lakini Tutafanyaje Na Watanzania Wameamua Kuwa Mwaka Huu Hamchaguliwi.

Yaani Nangoja Visingizio Vya Ccm Tarehe 27 Baada Ya Lowasa Kuingia Ikulu

Najua mnajua kila kitu wapiga Kura wengi Sanaa ha wakati mbeleeee kwenye Mkutano Wooten ule uwe wa CCM au wa ukawa angalia kwa makini sana kila Mkutano wapiga Kura wao wanakaa nyumba wanasikiliza kimya
 
Umesahau kitu kimoja mdogo wangu WayOut, wapo waliotudanganya na kutulaghai kwa miaka hamsini na ushee, je na hao unawaambiaje? Hilo moja likini la pili ni kwamba hawa wanatuhubiri mabadiliko, je unajua maana ya mabadiliko? Kama unaamini kwamba na wao watatudanganya na kutulaghai, tunayo miaka mitano tu ya kuwavumilia na nadhani hiyo miaka mitano kwa kiwango chochote kile ni heri kuliko miaka hamsini ya uongo na ulaghai. Pia kwa ufahamisho tu tukiweza kuwaondoa hawa walaghai wa miaka yote hiyo ya CCM, tutakuwa tumetoa funzo kwa waongo na walaghai ambao wanatafuta kuingia madarakani kwamba uongo na ulaghai si ruhusa tena. Utakuwa ni uenda wazimu kuwarudisha wale wale waliotudanganya na kutulaghai miaka yote hiyo tukitegemea mambo tofauti.
.kama hajasikia atakuwa na matatizo fulani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom