Picha bora ya mwaka 2015

Xplorer

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
607
857
Picha hii inayoonyesha upepo mkali huko Colorado iliyopigwa na James Smart ndio picha bora kwa mujibu wa National Geographic

Je ni nini kinachoifanya picha hii iwe na kiwango hicho?
 

Attachments

  • 1451473830871.jpg
    1451473830871.jpg
    43.5 KB · Views: 221
Imepigwa vizuri inaeleweka imechukua sehem kubwa sky makazi mpk kwenye surface
 
kama imefanyiwa fotoshoping vile..... kwa nini chini vumbi rangi ya kahawia likifika juu linakuwa rangi ya kijivu?
 
Upepo huu unanikumbusha andiko la kwenye bibllia linalomwelezea mtumishi wa Mungu Nabii Eliya alivyopaa mbinguni kwa upepo kama huu.
Unaitwa upepo wa kisulisuli
 
Last edited:

Similar Discussions

Back
Top Bottom