platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,548
- 11,517
Babu kampeni inaanzia Boko na Bunju.Mi nimehamia Dodoma na waziri mkuu...
Tafadhali toa ushirikiano tutokomeze tezi dume
Babu kampeni inaanzia Boko na Bunju.Mi nimehamia Dodoma na waziri mkuu...
Inaanza lini huko mkuuBabu kampeni inaanzia Boko na Bunju.
Tafadhali toa ushirikiano tutokomeze tezi dume
Utasema kaka mkubwa wa Mzee Mandera!Sura imekataa mafuta kabisaa
Muda wowote. Mwambie Babu asitoroke tutokomeze tezi dumeInaanza lini huko mkuu
Si unaona kidole kinaloweshwa KY
Duuuh nini hiki..?
Hii bora picha nzuri kutishia watoto wanaolia wananyamaza wakiona sura ilivyokomaa kama imeishi miaka 900 hivi
Hiyo ni furaha kuu baada ya kupimwa tezi dume na DAB.
CondomsWatangazaji wenzangu hao. View attachment 753404
Hakuna mpima tezi dume hapo?
Hiki ni kivutio cha utalii duuh
Nashauri polepole awe CAG.