Picha bora kwa mwaka wa 2019 kutoka Afrika

Picha bora kwa mwaka wa 2019 kutoka Afrika

Hii ni jamii ya kabila moja linalopatika ktk Jangwa la Namib lenye sifa kuu moja ya kukaribisha mgeni kwa kufanya nae mpanzi I meen wakitembelewa na mgeni muhimu basi mgeni huyo huchaguliwa binti ambaye ata mpa raha kama heshima ya ujio wake

Kama ilivyo kwa makabila mengi ya kitanzania mgeni akifika huchinjiwa kuku Kama heshima Sasa kwa omuhimba (Himba) kwao Ni tofauti kdgo[emoji23]
Duh asee kuna mila nyingine ni balaa tupu
 
Hatari lakini salama
tapatalk_1548258498217.jpeg
 
Back
Top Bottom