No reform no electionA picture that speak louder than words
Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake
NO REFORM NO ELECTION
😀😀😀
Alivyo okoka kumwagwa ubongo hapo Pennsylvania,,,ila Kwa technology ya Sasa mtu akitaka kukuondoa ni chap
HIyo technology haikuwepo siku hiyo huko Penynslavia?Alivyo okoka kumwagwa ubongo hapo Pennsylvania,,,ila Kwa technology ya Sasa mtu akitaka kukuondoa ni chap
A real Patriot Son of Tanganyika! 💪A picture that speak louder than words
Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake
NO REFORM NO ELECTION
Hawa hawana tofauti na Polisi wa nchi hii.huyo mjeda mbona anamwangalia Lissu vibaya hvyo? ***** zake, halafu kisa cha kumzingira hvo nini sasa?
Yaan kichwa chako mkuu,hakijawahi eleweka....tumia dira basi ili ujue upo upande gani,...kejeli kwenye userious si kitu kizuriKweli chadema ni mpango wa mungu 😂
Doh!A picture that speak louder than words
Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake
NO REFORM NO ELECTION
Hapo kuna kejeli gn mkuuYaan kichwa chako mkuu,hakijawahi eleweka....tumia dira basi ili ujue upo upande gani,...kejeli kwenye userious si kitu kizuri
Nime print.A picture that speak louder than words
Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake
NO REFORM NO ELECTION
Chadema ni center right mrengo wa Republicans ilihali Sleepy Joe na Democrats ni mrengo wa kushoto, liberals.tofauti yote inaishia hapo, tundu lisu & co ni mlengo wa akina sleepy joe, liberals …
A picture that speak louder than words