Picha bora 2012 tanzania haitatokea ya kuzidi

Picha bora 2012 tanzania haitatokea ya kuzidi

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Maisha bora kwa kila mtanzania haya
chanzo fb
579415_10150675229467339_757232338_9679663_1619178968_n.jpg
 
Chanzo FB.
How do you know if this picture was shot in Tanzania
OTIS
 
safi ila ingekuwa na composition ingeleta maana zaidi,hapo ipo tata
 
Sijaipenda kwa sababu ni wakiume.Wangekua wakike ndo kidogo ingekuwa nzuri
 
Chanzo FB.
How do you know if this picture was shot in Tanzania
OTIS

kwani Tz hakuna wanaovaa hivi. Afu angalia vema hizo sio uniform nyingi za shule yamsingi zinavofanana?
 
Ila hii hali inapotea taratibu sana inabidi tusaidiane kuipoteza inatia aibu sana
 
Chanzo FB.
How do you know if this picture was shot in Tanzania
OTIS

hapa bongo mzee,ni sehemu fulani tanzania,nitaje? inawezekna ni mkoani kwenu
 
He hee he kweli JF chiboko,hii picha balaa,huyo ni mwanafunzi aliyeaanza kukalia mawe kuanzia darasa la kwanza hadi la saba,halafu hajui kusoma na kuandika mwe
 
He hee he kweli JF chiboko,hii picha balaa,huyo ni mwanafunzi aliyeaanza kukalia mawe kuanzia darasa la kwanza hadi la saba,halafu hajui kusoma na kuandika mwe

sio hayo tu ndugu yangu ni kwamba hata kalio lake limekua gumu kama jiwe yani hata akipigwa sindano hapo dogo anachekelea tuu manake hadi sense zake zimekufa kabisa..! daah kwa kweli MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom