Kuyajua majina ni ngumu ila yapo menginpo dodoma lakin anyway unaweza kuniambia yanaitwaje ili niyatafute maduka ya hku
Kariakoo
tatzo ni jina, hata nkienda dukani nachukua mda mrefu sana kumuelezea muuzaji
Wakuu,
Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi battery, nipo Dodoma.
Nenda supermarket yoyote waambie wakupe Double A...au Triple A batteryWakuu,
Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi battery, nipo Dodoma.
Nenda KVD Mtaa wa Makunganya utapata hiyo Batri.Wakuu,
Kuna kifaa nimenunua lakini cha kushangaza aina ya battery kinazotumia ni tofauti kabisa na hizi battery za kawaida. Nilikuwa naomba msaada kama kuna mtu anajua upatikanaji wa hizi battery, nipo Dodoma.
npo dodoma lakin anyway unaweza kuniambia yanaitwaje ili niyatafute maduka ya hku