Picha: Bashasha na tabasamu za JK zageuka uso wa ndita na hatia

Picha: Bashasha na tabasamu za JK zageuka uso wa ndita na hatia

Kikaja kikaharibika....
Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
Mzee kaishiwa pozi maana kinachoenda kutokea 912 sio cha kusahaurika milele kitajenga historia nyingine kabisa... muda sio rafiki km wakiutumia vizuri kabla muda haujaisha na muda unakimbia vibaya sana
 
yaani Mange anawashauri mkaandamane mkachome mali za watu na nyie mnashabikia kabisa, yeye mwenyewe yupo sehemu salama aliogopa hakwenda ila mangombe sasa yanachochewa yanaingia mkenge bila hata kupima , anasamabaza uongo wa chuki mnaukubali aisee huwa nacheka mpka napaliwa, eti anaongea na wanajeshi endeleeni tu kuandmana mnaichukua ikulu leo leo endeleni tu mnaichukua ikulu mangombe yakaendelea kuuliwa tu mara ohh jeshi wana bunduk tu hawana risasi ahaaaa ahaaaaa MA NGOMBE YETU BANA
CCM itakufa kwa KUFUGA kimburu wenye akili kama HIZI
 
Back
Top Bottom