Usitaje tena hiyo code dude, unaharibuWanajeshi wana hasira nae huyu mpuuzi yani akae kwa kujiandaa tu
wanajeshi wa Mange ? au wa JWTZ?Wanajeshi wana hasira nae huyu mpuuzi yani akae kwa kujiandaa tu
yaani Mange anawashauri mkaandamane mkachome mali za watu na nyie mnashabikia kabisa, yeye mwenyewe yupo sehemu salama aliogopa hakwenda ila mangombe sasa yanachochewa yanaingia mkenge bila hata kupima , anasamabaza uongo wa chuki mnaukubali aisee huwa nacheka mpka napaliwa, eti anaongea na wanajeshi endeleeni tu kuandmana mnaichukua ikulu leo leo endeleni tu mnaichukua ikulu mangombe yakaendelea kuuliwa tu mara ohh jeshi wana bunduk tu hawana risasi ahaaaa ahaaaaa MA NGOMBE YETU BANAWanajeshi wana hasira nae huyu mpuuzi yani akae kwa kujiandaa tu
Utaelewa tuwanajeshi wa Mange ? au wa JWTZ?
Hizo propaganda zenu zilishakufa tarehe 29 Oktoba.yaani Mange anawashauri mkaandamane mkachome mali za watu na nyie mnashabikia kabisa, yeye mwenyewe yupo sehemu salama aliogopa hakwenda ila mangombe sasa yanachochewa yanaingia mkenge bila hata kupima , anasamabaza uongo wa chuki mnaukubali aisee huwa nacheka mpka napaliwa, eti anaongea na wanajeshi endeleeni tu kuandmana mnaichukua ikulu leo leo endeleni tu mnaichukua ikulu mangombe yakaendelea kuuliwa tu mara ohh jeshi wana bunduk tu hawana risasi ahaaaa ahaaaaa MA NGOMBE YETU BANA
bungeni hapo....Picha mbili za chini ni alikuwa wapi? Bungeni?
Wataalam wa body language watusaidie! Kuna vitu naviona wazi wazi…😁😁
ahaaa ahaa yaani tulidanganywa nchi inachukuliwa na jeshi tarehe 29 jioni mara kesho tarehe 30 mara ohhh bado masaa tu tarehe 31 mara ohhh wamenihakikishia tarehe 1 lazima wachukue nchi mpaka leo holaUtaelewa tu
haki ya mungu nawaonea huruma siamini watanzania wenzangu bado mna mawazo mgando hivyo , Yaani mungu wa mbinguni awarehemu awape ufahamu tu ndo sala yanguUtaelewa tu
kalikoroga inabidi alinyweBashasha na tabasamu siku alipoivuruga CCM kwa kulazimisha jina la mwanachama lipite bila mchakato...
View attachment 3503026
Kikaja kikaharibika....
Wananchi wamelikataa jina, watu wameimba mitaani HATUMTAKI HATUMTAKI HATUMTAKI... kisha wakamwagwa damu zao...
View attachment 3503029
View attachment 3503030
Siku zote mtu wa hovyo kabisa huyu; tabia za kinafiki na uongo uongo. Urithi wa tamaduni za kigeni zinawaharibu sana hawa watu.Kikaja kikaharibika....
Kwahiyo unafurahiiaa mauajiiyaani Mange anawashauri mkaandamane mkachome mali za watu na nyie mnashabikia kabisa, yeye mwenyewe yupo sehemu salama aliogopa hakwenda ila mangombe sasa yanachochewa yanaingia mkenge bila hata kupima , anasamabaza uongo wa chuki mnaukubali aisee huwa nacheka mpka napaliwa, eti anaongea na wanajeshi endeleeni tu kuandmana mnaichukua ikulu leo leo endeleni tu mnaichukua ikulu mangombe yakaendelea kuuliwa tu mara ohh jeshi wana bunduk tu hawana risasi ahaaaa ahaaaaa MA NGOMBE YETU BANA
Yule sista ni 'winga Teleza' ananoga anapotokea kwa pembeniyaani Mange anawashauri mkaandamane mkachome mali za watu na nyie mnashabikia kabisa, yeye mwenyewe yupo sehemu salama aliogopa hakwenda ila mangombe sasa yanachochewa yanaingia mkenge bila hata kupima , anasamabaza uongo wa chuki mnaukubali aisee huwa nacheka mpka napaliwa, eti anaongea na wanajeshi endeleeni tu kuandmana mnaichukua ikulu leo leo endeleni tu mnaichukua ikulu mangombe yakaendelea kuuliwa tu mara ohh jeshi wana bunduk tu hawana risasi ahaaaa ahaaaaa MA NGOMBE YETU BANA
Majuto ni ..... Mzee huyo siku ile angefanya jambo la busara yasingetokea yote yanayotokea kingine anajisahau kwamba miaka imetembea sana na generations zimebadirika na mbinu zimebadirika huwezi ukatumia mbiu hio hio kila muda lazima udakwe sasa awamu hii mbinu imefeli... Jaji Masaju amechafuliwa na Jaji Mwambegele wameonekana majaji wote hawana maana... wasimamizi wa uchaguzi wanasema hakuna wapiga kura waliopiga kura zile kura za majumuisho zote zilitoka wapi au mpaka wavujishe ushahidi wa picha kuonyesha kilichofanyika?bungeni hapo....
pembeni yake ni Mpango anasimama kutambulishwa baada ya JK kutambulishwa... muda wote alikuwa na uso wa guilty concious
Hata siku ya uapisho wa Samuya body language yake ilikua tofauti sana.bungeni hapo....
pembeni yake ni Mpango anasimama kutambulishwa baada ya JK kutambulishwa... muda wote alikuwa na uso wa guilty concious