tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,437
- 4,790
Hahahahaaa. Hiyo posture ngumu mkuu. Hata kuhema taabu. Sidhani kama kapenda kukaa hivyo...Halafu huyu ni lazima atakua amekivimbisha makusudi.
Hatari kubwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Duh..hapo akifunga kamba za viatu si anajamba..
Kamoooni
"Hili tumbo akiwa anaingia chumbani, unakuta tumbo liko ndani ndo mwili unakuja nyuma"
Utafikiri kageuzwa