Picha: ANGALIA UJIONEE MAGOMENI MAPIPA YA LEO

Picha: ANGALIA UJIONEE MAGOMENI MAPIPA YA LEO

Kumbe kuna watu bado wanashangaa hadi barabara, vituo vya daladala, na magorofa hadi karne hii. kazi ipo

Ujinga katoka ubora wake , unajiona mjanjaaa
 
  • Thanks
Reactions: Kig
napongeza uongozi husika, picha za barabara Luanda watu walisifu ila kwao eti wanashangaa watu kusifia barabara na majengo, lini utapenda kwenu?
 
kwa hili nampongeza Jakaya


Mkuu;

Nakuomba subiri mvua zianze kunyesha hapa DSM kisha mtuletee picha ya jangwani kuanzia Mapipa hadi Fire mataa patakavyoonekana.

Nasubiri kuona mafuriko hadi juu ya Madaraja mapya yale.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
laiti kama hizi picha zingekua zimepigwa kutoka nchi jirani ,mngezipa sifa zote

lakini kwakua zinatoka tanzania hazina thaman yeyote , hawa ndio watanzania wetu

haijalishi kitu n kizuri namna gani au kina ubora gani as long as kimetoka tanzania lazima mtanzania akizungumzie kwa mabaya .

Wewe Dampo acha kutukebehi, unafikiri kila mtanzania ni taahira. CCM imeshindwa kukamilisha mradi kwa wakati halafu unataka tusifie! Kuna nini hapo cha ziada zaidi ya mashimo na vituo ambavyo bado kukamilika. Au hujui barabara na vituo hivyo vikikamilika vinatakiwa vifanane namna gani. Huna aibu kuzungumzia ubora hapo, kwani hujaona hayo mabanda yanafanyiwa ukarabati kila siku kabla hata hayajatumika! Wewe ni mtanzania ambaye umeshusha sana kiwango cha ubora wa vitu tunavyotarajia kuviona katika karne hii.
 
Watu washageuza njia za watembea kwa miguu sehem za bar na kuuzia pweza
 
Tuwekee magomeni ya zamani ili tutofautishe basi
 
This was inevitable cha kujiuliza huduma pia zimeongezeka za hawa watu, zaidi ya vibanda vya chipsi mayai na ma-bar ya kienyeji.

Muhimbili aiko mbali na kariakoo aiko mbali ni kasheshe; shule za msingi sijui idadi ya miaka ishirini na leo zikoje, walimu wanaweza mudu na ku-monitor maendeleo ya wanafunzi.

Unajua mtu alieondoka Tanzania muda mrefu akirudi kitu cha kwanza kuona mji umebadilika ni kariako sio majengo yaani aisee watu ni wengi mno wanaofata huduma sokoni, creativity is needed that is just too much.
 
Back
Top Bottom