Picha: Amazing Kenyans!!!!

Picha: Amazing Kenyans!!!!

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,357
602901_607833965925367_2095771375_n.jpg
 
Hahahahahah mwanamke mbabe huyo
ehhh wanaume waoga kupigwa hawa waone hivihivi wao wanajifanya wababe kupiga wenzao tu ukimgeuzia kibao yeye anakuwa mdogo kama piriton...ngoja nikajifiche kabla hawajanisikia...:behindsofa:
 
Jifiche mwenzangu ila me nataka kuanza mazoezi ya nguvu akinizingua man nampa kipigo hahaahahaha
 
Umeshapiga wangapi hadi sasa?

ehhh wanaume waoga kupigwa hawa waone hivihivi wao wanajifanya wababe kupiga wenzao tu ukimgeuzia kibao yeye anakuwa mdogo kama piriton...ngoja nikajifiche kabla hawajanisikia...:behindsofa:
 
Yu a sapozid Tu yutilaize zati pozisheni......mkao huo ni mzuri sana. Hio ni apochuniti ya kumridhisha mpenzi wako
 
Back
Top Bottom