Na inasemekana wanamme zaidi ya milion moja nchini Kenya wamerudi majumbani kwao baada ya kuwa hostage kwa muda wa siku zaidi ya 3 pale westgate. Namba hii inategemea kuongezeka sana maana wapo waliolazwa kusikojulikana.
ehhh wanaume waoga kupigwa hawa waone hivihivi wao wanajifanya wababe kupiga wenzao tu ukimgeuzia kibao yeye anakuwa mdogo kama piriton...ngoja nikajifiche kabla hawajanisikia...:behindsofa:
Ngoja niwarm up na naenda kuchuma fimbo yangu ya mpera kabisa....mimi49 nakwenda kukunywea bia sasa hivi. Unaanza kiburi wewe, shauri yako ninakuja huko home.
Ngoja niwarm up na naenda kuchuma fimbo yangu ya mpera kabisa....
Kudadeki nitakucharaza wewe mpaka pombe zikutoke kichwani na njia ulokujia utaikumbuka...utairudia hio hio:boxing::boxing::boxing:Weweweeee, basi kama ni hivyo ngoja nizidishe kipimo ili nipate kisingizio cha kukubamiza zaidi. Nilitaka bia moja tu ya kujistua lakini kwa kuwa umeongeza kiburi basi nitazidisha kunywa kwa ajili ya kukuchapa, na leo lazima majirani wasikie kelele zako maana unajianya hupigi kelele siku zote leo ndo kikomo chako. Usinilaumu kwani umeyataka mwenyewe kwa kunitishia na hizo fimbo zako uchwara.
Kudadeki nitakucharaza wewe mpaka pombe zikutoke kichwani na njia ulokujia utaikumbuka...utairudia hio hio:boxing::boxing::boxing:
Hehehehe! Wengi tutaomba watutonye kabisa siku watakayofanya huo ugaidi ili tuwe humo ndani kabisa. Liwalo na liwe.
EMT na Kongosho hii vipi? Caught red handed! Huyo anae shangaa shangaa ni mwizi. Huyo anae chapwa ndio msaliti. Huyo anae chapa ndio mmiliki. Source Boyfriend caught with another girl humiliated and hit in street by girlfriend | In2EastAfrica – East African news, Headlines, Business, Tourism, Sports, Health, Entertainment, Education
mimi49 nakwenda kukunywea bia sasa hivi. Unaanza kiburi wewe, shauri yako ninakuja huko home.
mlevi kupigwa ni rahisi sana
hahahaaa......... kama unataka nikutoe meno ya sebuleni we njoo ukiwa umelewaLady doctor naona unataka nikugeuzie kibao, wewe umewapiga walevi wangapi? Usinifanye nije huko kwenu kukuchapa, ohoooooo!