Picha aliyopewa Rais Magufuli na mjukuu wa Malkia '' Je, bado tupo chini ya himaya ya Malkia?

hiyo picha ikaguliwe vyema, wasije kuwa wanataka kudukua nchi yetu.
hawa watu weupe sio wema kabisa wakati mwingine.
 
Hiyo picha imetengenezwa kwa ukubwa huo kwa makusudi. Inashawishi kuiweka mahali, kuitundika ili ionekane. Kila atakaeiona atakumbuka historia ya kutawaliwa kwetu na Uingereza.
 
Back
Top Bottom