Ac
Acha imani za kichawi chawi mkuu nina miaka 17 napita njia hiyo huo ni uongoMsitokwe na mapovu. Kwa waliowahi kuendesha gari barabara ya moro iringa watakubaliana na mimi kuwa kipindi cha mvua maeneo hayo ya mindu huwa na mvua za ajabu kubwa sana na ukivuka unakuta hakuna mvua. Pia maeneo hayo juzi kati nilipita kuna matengenezo ya bara bara na inaonekana lami iliyowekwa inateleza sana na kuna kona kama mbili hivi, hivyo kama kulikuwa na mvua+speed=utelezi=ajari. Kosa la dereva ni speed