Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

Shyrose ashukuru Mungu ugomvi uliishia kwenye maneno la sivyo angepigwa vibaya hadharani.
Ninakumbuka uchaguzi uliopita UWT 2007 mama Janeth Kahama alipigwa vibao usoni na sofia Simba.
 
Mimi jamani naomba kuelimishwa kidogo...Ni hiviiiiii....hivi UWT ni ya wanawake wa ccm tu au ni wanawake wote wa Tz???
 
sasa humo imeona sura za wanaume, je wamefata nini ktk uchaguzi wa wanawake. Halafu mashati yao hayajachomekewa,T(tucked in) wanaficha kuujaza mtyubu nini? Maana yake hapo kila mwananke kapendeza kwa kitenge! wapo so sexy! wamekuwa wazuri mnooo! Yaani vitenge vimewapendeza sana. Be careful with, unprotected sex!
 
Sio ajabu, mambo ya chama tawala mbona tumeanza kuyazoea. Hapa hakuna cha tkukuru, vitu vyenye ncha kali wala tendwa; kanyaga twende 2015 ileee..........
 
Nilikuwepo. Achana na picha hizo tu. Ngumi zilipigwa nje kwa mashabiki wao. Polisi wasingewahi ingekuwa balaa. Kwa jinsi mgombea mmoja alivyomwaga rushwa kwa wapiga kura usiku wa kuamkia uchaguzi ni ushetani mtupu. TAKUKURU haipo nchini.
 
mambo ya posho ya lowasa hapo ungekesha mdogo wangu shy rose hao wamekula yamini lakini pongezi zako kwa uthubutu wa angalau kuwambia na vipi mbona wamaenong`ona saana kuwa wewe si mwenzao?
 
haya yalikuwepo tangu zamani,ila sasa tunashukuru uwazi uliopo ndio umesaidia tumeona yote hayooooooooooooo,kusutana kwa wanawake ni sunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Magamba kwa kweli mnaendelea kujidhalilishaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hata kama chungu lakini ni dawa,muda ukifika achia ngazi jamani kwani ni wewe tuu unaeweza kuongoza???????????????????????????????
 
Tofauti ya usutanaji huu na ule wa uswahilini ni kuwaHawa ni "wenye nchi" na wale wa uswahilini ni "wananchi". Kusutana kwa wenye nchi ni jambo dogo tu walikuwa wanaweka mambo sawa ili waongoze vizuri na wananchi wakisutana wanafanya fujo na kama wako kwenye chama fulani chama hicho kinastahili kufungiwa
 
Mimi jamani naomba kuelimishwa kidogo...Ni hiviiiiii....hivi UWT ni ya wanawake wa ccm tu au ni wanawake wote wa Tz???

swali zuri sana nadhani kuna haja ya jina hilo kubadilishwa maana linaonekana ni chama cha kitaifa kumbe ni kitaifa lakini chama fulani..
 
matusi na kurushiana maneno imekuwa ni sera ya ccm .wanachama wake hawana cha kueleza wanapobanwa maswali hujibu kwa maneno ya jeuri

Ndio maana viongozi wa chama cha magamba huwa wanaogopa kufanya midahalo ya wazi kwani wanaogopa maswali!! Safari ni lazima wagombea wa uRAIs kutoka vyama vyote lazima wafanye midahalo angalau miwili ili watu waweze kuwa na nafasi ya kufanya maamuzi sahihi!! Tusirudie makosa ya huko tulikotoka.
 
Ujumbe ni kwamba mwanamke hata asome kiasi gani, apewe cheo kikubwa mno yaani cha juu, bado ata-behave kama a girl child; na mbaya sana wanawake wakikusanyika sehemu bila wanaume basi mambo yanakuwa shaghala baghala. Je, ni sahihi kuwaweka wengi wa hawa kwenye ngazi za juu za maamuzi?!

Kama wote hawa ni watoa na wapokea rushwa, vita ya rushwa itaisha kweli?!
 
Back
Top Bottom