Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by 2mbaku, Oct 21, 2012.

 1. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

  [​IMG]
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  John Tendwa upo?
   
 3. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tendwa Zindiko
   
 4. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Yaani hawa magamba....kuanzia vijana, wazee...na sasa wanawake. Dah!
   
 5. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kuna kipande cha taarabu kinasema ukiona nimemwacha ujue nimemchoka......bila shaka ndivyo wanavyopashana
   
 6. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Aibu tupu,sasa hawa wanatofauti gani na wale wanaosutana uswahilini?
   
 7. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ipo siku wataingia na kikundi cha uamsho kwe kumbi cha uchaguzi kutetea masilahi yao. U know what will happen?Kuuana.
   
 8. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #8
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,030
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Ndo uchaguzi wa amani huu?
   
 9. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahaaaaaa,mambo ya vidole juu
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna mtu anayejua mgawanyo wa kura ulikuwaje, Kilango alipatakura ngani na Sophia Simba alipata ngapi?
   
 11. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  matusi na kurushiana maneno imekuwa ni sera ya ccm .wanachama wake hawana cha kueleza wanapobanwa maswali hujibu kwa maneno ya jeuri
   
 12. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  2mbaku mwanga picha zaidi tafadhari
   
 13. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hao akina mama wa CCM hawana maana kama mabwana zao. UWT inaweza kusomeka kama Umoja wa Wahuni Tanzania. Maana mambo waliyofanya hadharani hayafai kufanywa na chama kikongwe. Hata hivyo UWT ni nini zaidi ya kuwa kikwazo cha kujitambua akina mama wakakalia kugombania upuuzi kama uenyekiti badala ya urais?
   
 14. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wamechangia bwana hao kwani we unadhani ni kwa sababu tu ya kuulizana maswali?!,hilo lilikuwa ni pitio wamelambiano hao.
   
 15. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Za nn mkuu,zinachefua hizo wala sio za kuweka humo,zinatosha hatutaki kuharibiwa siku humu ndani banaa Haaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 16. WABHEJASANA

  WABHEJASANA JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 4,225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Bora ya uswahilini,hii ni chooni mtu wangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,437
  Likes Received: 19,797
  Trophy Points: 280
  tendwa toa tamko
   
 18. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #18
  Oct 21, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  simba 716, kilango 310, majige 7
   
 19. 2mbaku

  2mbaku JF-Expert Member

  #19
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 317
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Tamko!!! atatoa lile PENGO tu na kukunja ndita kidogo na kusema aya ni mambo ya ndani ya chama kwa hiyo yatashughulikiwa kichama zaidi
   
 20. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Vitu vya kawaida kwenye siasa.
   
Loading...