Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

Picha: Aibu Uchaguzi wa UWT

2mbaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
316
Reaction score
67
Shyrose akikwaluzana na wapambe wa Sophia Simba Wapambe wa Mgombea Uenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania, Sophia Simba wakimfukuza mjumbe mwenzao wa mkutano mkuu wa jumuiya hiyo,Shyrose Banji (kushoto) baada Mgombea huyo na Shyrose kurushiana maneno ndani ya Ukumbi Chuo cha Mipango, mjini Dodoma ulipokuwa ukifanyika uchaguzi huo. Kulia ni Sophia Simba akitaka kuinuka kwenda kupambana na Shy-Rose.

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • 66338_431671193561741_580761394_n.jpg
    66338_431671193561741_580761394_n.jpg
    78.6 KB · Views: 9,346
  • 525769_10151206684104339_146171498_n.jpg
    525769_10151206684104339_146171498_n.jpg
    31.9 KB · Views: 10,513
kuna kipande cha taarabu kinasema ukiona nimemwacha ujue nimemchoka......bila shaka ndivyo wanavyopashana
 
Aibu tupu,sasa hawa wanatofauti gani na wale wanaosutana uswahilini?
 
Kuna mtu anayejua mgawanyo wa kura ulikuwaje, Kilango alipatakura ngani na Sophia Simba alipata ngapi?
 
matusi na kurushiana maneno imekuwa ni sera ya ccm .wanachama wake hawana cha kueleza wanapobanwa maswali hujibu kwa maneno ya jeuri
 
Hao akina mama wa CCM hawana maana kama mabwana zao. UWT inaweza kusomeka kama Umoja wa Wahuni Tanzania. Maana mambo waliyofanya hadharani hayafai kufanywa na chama kikongwe. Hata hivyo UWT ni nini zaidi ya kuwa kikwazo cha kujitambua akina mama wakakalia kugombania upuuzi kama uenyekiti badala ya urais?
 
Wamechangia bwana hao kwani we unadhani ni kwa sababu tu ya kuulizana maswali?!,hilo lilikuwa ni pitio wamelambiano hao.
 
Back
Top Bottom