Picha: ACT-Wazalendo Waitikisa Songea

Nyie mna bishana na maccm ukitaka kuamini kwann mtu aseme km ccm B act iko hv ccm yenyewe siitakuwa tishio maanaake ni ccm anajifanya yuko act kweli nmeamini act ccm B

Vipi hicho cheo cha CCM-B mmeshamvua CUF???
 

Siku zote muongo ni bingwa wa kuongea hatukatai zitto ni bingwa wa kujenga hoja sasa hizo hoja ndo zimemfanya kuwa msaliti?
 

Ongea uongeavyo hiyo ni ccm siyo ACT iliyosimama peke yake ccm walishakiandaa hicho chama walifikir zitto akienda Act bas wale wabunge vijana watamfuata saiv mmebaki kuwa watabir mala wabunge wengi watahamia sasa sijui watahaniaje wakiwa wabunge wakat bunge linavunjwa mwaka huu wanakua raia wa kawaida had waombe tena na hata hao wakienda chadema bado itateua watu makini na kauli hizo hazihitaj ufanunuz kwa nn act ipo.
Ipo kwa ajili ya kuisaidia ccm kwa kuvunja vyama vya upinzani mana kila siku zitto kauli yake kuna wabunge watakuja na mtawangoja sana.

Na kutuambia chadema imefika kwa ajili ya zitto na mkumbo labda wewe kwa mawazo yako kwani sisi hatuoni yanayofanywa na ccm? Hao ccm wangekuwa wasafi unafikir vyama vya upinzan vingepata nafasi? Sisi wenyewe raia ndo tunataka mabadiliko kuinusuru inchi ila sio kigezo cha mtu fulan tumeshaona na kusikia utendaji wa ccm mabadiliko ni ya watu sio mtu kama watu hawapo tayar hata uwe mjenga hoja vp bado utachemka tu

Pia unatuambia Act kitakuwa chama kikuu cha upinzabi lengo lake sio kuwaondoa ccm bali ni kuwa chama kikuu cha upinzani kwa hiyo furaha ya Act ni kuwa chama cha pili baada ya ccm na si kuwakomboa watanzania.
Ukituambia uongoz ulele watu walewale kwani zitto na kitila ni watu wapya na yule mama mwenyekit ktk medani za siasa? Halafu na ww unategemea mapya kwa hao lengo kuu la hao ni uongoz na usalit nani asiyewajua?
 
Nia hasa ya ACT ni kupingana na CHADEMA wala sio kuingoa CCM
 
ccm wanatumia hela nyingi uisabalatisha chadema.hawataweza kwani chadema imeshajiimalisha sana.hata hao wengi wao ni wana ccm. ccm inatumia wajumbe wa nyumba kumi kuhakikisha mikutano ya wasaliti inajaza watu. ccm imechokwa hata waje na rangi gani
 
Nia hasa ya ACT ni kupingana na CHADEMA wala sio kuingoa CCM

huo ndio mwisho waupeo wako wa kufiri.hulaumiwi nihaki yako.
wewe unaipenda sana cdm nakushauli na kuwashauli viongozi wenu msiwataje taje act.waacheni wafanye siasa act.
 
ccm wanatumia hela nyingi uisabalatisha chadema.hawataweza kwani chadema imeshajiimalisha sana.hata hao wengi wao ni wana ccm. ccm inatumia wajumbe wa nyumba kumi kuhakikisha mikutano ya wasaliti inajaza watu. ccm imechokwa hata waje na rangi gani

mtapona mwaka huu.zito kasema hao wabunge wasafi wenu wamefanya nini juu ya taifa hili? pia kasema hata yeye anaona nia nzuri ya kuidondosha ccm nikuungana lakini vyama viungane kwa maslahi ya wananchi wanyonge nasio viungane ili kugawana vyeo tu.
 
Mtaongozwa mara ngapi kwani na mapadre hujui kuwa katoliki ndio imeratibu hata uongozi uliopo madrakani sasa Kuanzia Rais mawaziri hadi BAKWATA.

CCM OYEEE

Tunalijua hilo.

Si ndiyo kwa maana tunasema nchi hii kuna mfumo kristo??

Lakin mfumo kristo huo ndani ya ccm ni nafuu na tunapambana nao na matokeo yanaonesha very positive.

Sasa kuwapa nchi chadema ni kana kwamba tumewapa kanisa moja kwa moja.

Wewe huoni mapadre walivyojaa Chadema.

Ikulu msahau nyinyi wazandiki.
 
CHADEMA walimfukuza Naibu Katibu Mkuu Zitto mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu!Badala ya kushikamana wao wanafukuzana kwa tuhuma za ki p u u zi kabisa!

ACT itampunguzia sana kura Dr Slaa

Nnyambara, nkulumba mwana ghwa Kyala

That was stupid move ever done by CDM! katika siasa unaweza ukajifanya mjinga kwa kutaka kikubwa zaidi, unaangalia lengo kwanza na sio mtu mdogo kama zitto, they spend all money, efforts, time, and brains kucheza na zitto; wakamkomaza na kumkuza mno

they failed wakaenda kujiunga na ukawa another stupid move ever....hadhi ya chadema muda ule haikuwa ya kuungana na Mbatia ( mbunge wa kuteuliwa wa Kikwete) haikuwa ya kuungana na CUF!!

Hivi wale wanachadema wanaoona wanajua siasa, hivi kweli mnamsaidia Mbowe kufikiri?

kama ningekuwa mimi CDM na intelijinsia inaonyesha kabisa Zitto atahama, ingekuwa muda mzuri wa kuiua ACT kwa kumpa zitto ukaribu!!!!!! tangaza mmemsamehe, mpe cheo ambacho hakipo; ACT isingekuwa threat hivi!!!!!!!!!


CDM mnafikiri kwa akili zenu hizi za kipuuzi mnaweza kupewa nchi?

mnafikiri Kikwete alikuwa mjinga kumweka mwakyembe na mwandosya karibu? au kumpa uenyekiti wa tume ya katiba warioba? watu ambao ni maadui zake? he knowa politics sana zaidi ya mbowe na slaa!! hata kama tunamwona mzembe kwenye issues zingine, lakini anavyo deal na maadui zake yuko juu kikwete


ACT ni mtoto wa chadema. period kama ambavyo vyama vingine vilivyozaliwa kutoka CCM! lakini makosa ya kuanzishwa NCCR, CHADEMA, UDP, n.k na wale waliokuwa maadui wa Nyerere, CCM imebadilika na kwa miaka 23 sasa hatujaona dalili ya kuanzishwa chama kingine kutoka CCM ndio maturity

CCJ ambayo wanzilishi ni akina sita na Nape....tumeona hawa watu CCM ilivyowapaisha na kukiua CCJ kifo cha asili

CDM ni nani aliyewaroga??


ACT itakuwa itapaa ita shine, yes tuko nyuma yao wengi tu na wengi hawako humu! ni wananchi wa kawaida kabisa kila kona ya Tanzania!

Tangu 2009 mlipoanza kumtenga zitto, kimbilio lake likawa kwa wananchi na kusema yale ya wananchi.......mlipoanza kushindana naye, kwa matusi na sauti kuuu....likuwa mnashindana na wananchi na sio Zitto

Zitto aliwapa muda wa nyie kujitafakari na kujirudi, hamkufanya hivyo


ACT for life!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…