Picha: ACT-Wazalendo Kigoma mjini leo

mcubic

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2011
Posts
10,310
Reaction score
6,548
Ni katika muendelezo wa kutambulisha azimio la Tabora

Attachments

  • z1.png
    81.2 KB · Views: 6,098
  • z2.png
    109.8 KB · Views: 5,938
  • z3.png
    115.1 KB · Views: 5,815
Kwa siku ya leo ndugu zitto kabwe amefanya kazi ya kuifuta chadema katika mkoa wa kigoma kwa siku ya jana na leo kigoma mjini,zaidi ya viongozi wa kata mia mbili leo wamevua magwanda Yao na kuvaa uzalendo
 
Hata wakiwachukua viongozi wote wa chadema tanzania nzima bado hawataweza kukamata dola,kama ndiyo lengo lao,ila kama lengo ni kupambana na chadema basi wataweza,chadema yenyewe bado haijaweza kupata 30% ya nafasi za uongozi nchi hii,nyie badala mgombee kula katika sahani kubwa nyie mnanyanganyana kidogo kilichopo kwenye kijiko cha mwenzako,ambacho hata ukipewa chote hutashiba!!! Shit!!
 
CDM walianza na viti vya ubunge 2 huyu anauhakika zaidi ya 20.
 
Kwa siku ya leo ndugu zitto kabwe amefanya kazi ya kuifuta chadema katika mkoa wa kigoma kwa siku ya jana na leo kigoma mjini,zaidi ya viongozi wa kata mia mbili leo wamevua magwanda Yao na kuvaa uzalendo

Kwanini asiifute ccm anaifuta chadema.
 
Salumu mwalimu inabidi akafanye mkutano kigoma ilikufuta nyayo za ACT.
 
Kwa siku ya leo ndugu zitto kabwe amefanya kazi ya kuifuta chadema katika mkoa wa kigoma kwa siku ya jana na leo kigoma mjini,zaidi ya viongozi wa kata mia mbili leo wamevua magwanda Yao na kuvaa uzalendo

Kata mia mbili?
 
Siasa za maji taka hizi,ACT iwe ccm b,cuf ilikuwa ccm b,nccr walikuwa ccm b,ghafla ukawa,lini wamekuwa na malengo sawa dhid ya ccm kama members nje ya chadema ni ccm b?
 
Niko hapa Kigoma Zitto ni msaliti tu ashukuru kabouru kumsaidia wana CCM hakuna mwanachadema hapo vipi kwa mfuruki haendi
 
Kata mia mbili?

Huyu katudanganya hata kama kuna mambo tunakubaliana.katufanya mazuzu wa siasa.kata mia mbili ni sawa kweli? Usemaji huu unakuwa kama wa.jerry muro yanga,masau bwire au manara simba?ushabiki mtupu.
 
Kwa siku ya leo ndugu zitto kabwe amefanya kazi ya kuifuta chadema katika mkoa wa kigoma kwa siku ya jana na leo kigoma mjini,zaidi ya viongozi wa kata mia mbili leo wamevua magwanda Yao na kuvaa uzalendo

CKUJUA KUMBE ANAPAMBANA NA CDM?Aise njaa n mbya sna.laana ya wtz haitamwacha huyu yuda ASKRIOTI.ZAMBI YAKE IMEANDIKWA KW KALAMU YA SHABA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…