HahahaaaKwa nyuzi kama hizi, I wish i could be IGP
Ungeweza mikiki yakeWema mzuri sana aiseee.... I wish angekuwa wife wangu
Mambo Emmy. Unanikumbuka?Hahahaaa
Angekua kamanda kwamwaka cjui ingekua je?Kuwa kamanda siku mbil tu keshaanza kuwaka hivi
Naturaly beautiful? Unajua unacho kinena? Ushawahi mwona wema akiwa binti? Sio huyu kabisaaaaa.For sure! I adore her. Sema mambo mengi ila she is naturally beautiful, haswa kama ajaweka makeup namawigi yake. Ndo anavutia. Pia akiva ushungi ndo nampenda zaidi